Anzisha ya kwako na wewe uifanye ya biashara mkuu, hujakatazwa.Tumeshawachoka sasa, naona Makonda anatumika kama mtaji wa kibiashara na huyu mtu, Dini kwake ni biashara, mkubali mkatae.
Una maana anachofanya ni kizuri, kisa na mimi sijakatazwa kutenda uovu anaofanya basi nikae tu kimya, nisiseme? Bogus!Anzisha ya kwako na wewe uifanye ya biashara mkuu, hujakatazwa.
Wewe inakuuma nini, anzisha yako uifanye utakavyo, hiyo ni yake anaifanya atakavyo, wewe unataka kumpangia jinsi unavyotaka aiendeshe umemsaidia kuianzisha?
Kwa nini kakimbia!mtu kaishakimbia nchi bado mnamshikia bango
Mbona umeandika ki 'delicious'? Inakera!Sio kwa mashushu hayo jamani, hata mange kimambi haoni ndani