Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Gwajima anamtuhumu Mama anataka kuwaletea madhara Raia wake kama kuchanja ni hiari? Kulikuwa na haja ya shutuma na kejeli zote, kama unaona hazifai wewe waambie watu wako msichanje basiMama alishasema chanjo ni hiari. Sasa anakwamishwaje hapo?
Na leo amechanja kwa hiari yeye na watu wengine....
NipoNakuona
..na iwe hivyo tu...Hakuna atakayeuza wala kununua bila huu mhuri wa COVID 19
Ufunuo wa Yohana 13
Mnyama kutoka Baharini
1 Kisha niliona mnyama mwenye pembe kumi na vichwa saba akipanda kutoka baharini. Kila pembe yake ilikuwa na taji. Alikuwa na kumkufuru Mungu lililoandikwa kwenye kila kichwa...
..na iwe hivyo tu...
Ufaransa imeanza....
Wazee wa "conspiracy theories" wana "pang'ang'a nyingi tu".....
#TujitokezeKuchanjwa
🤣👍Kuchanjwa ni hiari ya lazima
Swadakta....Sawa kila mtu ana mawazo yake na tumeshaambiwa ni hiari hakuwa na haja kumkejeli na kumtuhuma Mama , hii ni vita ya kisiasa na hili la chanjo ni uwanja tu wa mapambano
Aaaamin Aaamin aaaamin aaaaaamin🙏Inahitaji utafiti kuhakikisha chanjo tunazopata ni salama
Na inahitaji ujasiri na maamuzi mgumu pia ili kuhakikisha kwamba tuzigomea hizi chanjo sababu mwisho wa siku huna chanjo huwezi cross boarder. Je, tuna huo uwezo wa kujifungia???
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Hakika.Why hawamfukuzi chama??
Why wanamuacha anaeneza uasi?
Sukuma and Hutu Immigrants Gang!Hili la chanjo ni kichaka tu, ni muendelezo wa lile Genge
🤣🤣🤣Lala naye mpuuze ila muangalie nyendo zake
Confusion na mitizamo tofauti ni jambo la kawaida lakini hii ni siasa ukimtazama vizuri Gwajima sio tena mjadala wa kuelimishanaPenye wengi hapakosi kuwa na mengi!
Ukiwa kiongozi wa watu lazima uwe na moyo mkubwa wa kustahamili mambo mbalimbali.
Gwajima si mnafiki.
Kuna kitendawili kimetokea watu vichwani mwao wamekuwa confused baina ya yale walokuwa wakiambiwa awamu ile na sasa,
Elimu zaidi itolewe yamkini na siyo kuwatisha wanaoelezea mitazamo yao.
Lazima ku-admit kuwa kuna confusion ambayo inabidi watu wapewe ufafanuzi na elimu na hamasa.
Ha ha ha haBasi tupige kura 😀