Gwajima anawakilisha lile kundi linalotaka kumkwamisha Mama kuongoza nchi, hili la Chanjo ni kisingizio tu

Confusion na mitizamo tofauti ni jambo la kawaida lakini hii ni siasa ukimtazama vizuri Gwajima sio tena mjadala wa kuelimishana

Ndiyo maana nimeandika kuwa kuna watu wengi vichwani mwao bado wanamtazamo wa yale walokuwa wakiambiwa awamu ile.
Sasa kila mtu na hulka zake mfano ni Gwajima ana hulka zake na namna ya kusisitiza jambo analoliamini na anauwezo wa kuona rohoni na mwilini.

Nazani cha maana badala ya kumhusudu Gwajima kile alichosema badala yake nguvu ielekezwe ktk kuelimisha jamii na ku admit kuwa awali ilisemwaje!

Mfano nimemsikia Waziri wa afya ameanza kufafanua vizuri kuhusu hiyo chanjo ni jambo zuri.
 
e
Tunakumbuka kuwa kulikuwa kuna fununu za jitihada za kutaka Mama asishike usukani baada ya Mzee kufariki, na hali hiyo ilichangia kuchelewa kutangawaza kifo cha Mzee mpaka pale Mkubwa wa Mapiganaji wetu alivyoingilia kati

Tunakumbuka wakati wa mazishi ya Mzee kule kijijini Mkubwa wa Mapiganaji alimwambia Mama Wapiganaji wetu wanaahidi utii kwake kama Mkubwa wetu na akamwambia ana dokezo la siri atampa wakiwa wawili tu

Ni wazi lile kundi au Genge halikuishia hapo, tulianza kusikia fununu za kutaka kutenganisha kofia ya Ukuu wa Chama na Nchi katika jitihada za kumkwamisha Mama kutawala.

Kundi/Genge hilo linaongozwa na wabunge wakiwemo Gwajima, walianzia Bungeni katika kile kilichoonekana kulinda utendaji wa Mzee, mpaka pale Mama alipotamka kuwa wanapoteza muda kubishana kwa mambo yasiyo ya msingi.

Matukio ya mifumo ya umeme kama lile la luku, moto soko kariakoo ambalo linahudumia sehemu kubwa wananchi na yanayofanana na hayo ni moja tu viashiria vya hujuma

Baada ya majaribio ya kihaini kushindwa kwa sasa, wanachofanya sasa ni kumkwamisha katika kuongoza kwa kumtanguliza mtu mwenye ujasiri na uzoefu wa kuropoka lakini pia mwenye platform ya kuongea kila mara, mtu anayezua utata ambaye akiongea atasikika na wengi, naye ni Gwajima ambaye ana nafasi kuongea kila Jumapili

Ndio kama Raia ana haki ya kutoa maoni,mawazo, dukuduku au ushauri kama Raia anayewajibika lakini ukiangalia nama ya uwasilishaji wake unagundua hana nia hiyo kama Raia anayewajibila bali ni 'vita binafsi' na Mkubwa wa nchi

Maneno kama " utaona kesho au kesho kutwa wanachanja, hizo ni feki MWAMBIENI ACHANJE ZOTE MILIONI MOJA ALIZOAGIZA"

" Hizochanjo wanawataka mchanje kwa sababu WAMESHAKULA HELA ZA JUU wapewa pesa"

Hizo ni tuhuma, kejeli na kashfa za moja kwa moja, ni wazi wamemtanguliza front na watakuja wengine

Ukiangalia ni moja kwa moja anamshambulia Mama sio Serikali, na unagundua suala chanjo ni moja tu uwanja wa MAPAMBAMO YA LILE KUNDI/GENGE DHIDI YA MAMA, haitoshia kwenye chanjo tu watakuja na kwengine lengo ni kumkwamisha na kuhakilisha 2025 wanaweka mtu wa lile kundi kama walivyotaka wao kipindi kile kabla ya kufeli.

Gwajima ni kifaranga tu, atafutwe Mama aliyempandisha kwenye chungu

Tumevuka salama kama Taifa kipindi kigumu lakini bado watu wanataka kuliingiza taifa katika mtanziko, HUU NI UHANI

MAMA umezungukwa na wengi wa hilo genge, chukulia mfano baada ya ile kaichanganya jamii na kuleta sintofahamu tulitarajia Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wake kuongea chochote badala yake wanaongea watu wa mtaani wakina Kambakamba na Vigwangala, wasaidizi wako wamekususia hawako na wewe

Nije kwenye chanjo, serikali ilishasema sio lazima ni hiari, zimekuja chanjo tofauti mtu achague, Kama tunawasiwasi na Wazungu na Wamarekani kuna chanjo za jamaa zetu URUSI, CHINA, CUBA na hata INDIA

Haikutakiwa kuwa mjadala na kushutumu viongozi, unaweza ukawaambia watu wako msichome ukawapa sababu, kuna makundi kama vile wanafunzi wanaosomanje, wafanyabiashara, wanaokwenda kufanya kazi nje, na hata wanaokwenda kweye ibada kuhiji Israel, Makkah hata Vatican huko ni lazima chanjo. Sasa utawanyima vipi haki yao hawa? Mwaka huu ndugu zetu Waislam wengi wamekosa ibada ya hija

USHAURI KWA CHAMA TWAWALA, Msimfukuze uanachama na muacheni na ubunge wake, hilo ndilo analitaka litokee yeye na waliomtuma kwa namna anavyotenda, ni makusudi kabisa ni calculated movement
watajua wenyewe huko, kwani hali ikiwa ngumu huyo mwanamama siatajiuzuru, kwanza hapo alipo anaomba 2025 ifike mapema aachane. Nyie mnazani hata huo uongozi huyo mwanamama anauhitaji? ni basi tu katiba ilimlazim hakukuwa na namna.
 
Sasa ndio mlitaka kuleta Chaos? Kwa nini msisubiri 2025 atakapokaa pembeni kama hataki?
 
Ningekuwa mwenyekiti wa CHAMA ningemgukuza GWAJIMA...ningemfuta UANACHAMA......

Mambo aliyofanya huyo jamaa si ya kuvumilika ...si ya kuvumiliwa haswa.....

#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaTanzania
#UtiiNiLazima
Gwajima ana'watu'wakimgusa anakinukisha
 
Watu wenyewe ni Kama wale wa "Mzee Mpili" walioshindwa kukizuia Kichwa Cha Thadeo Lwanga 🤣🤣
Hao watu sasa labda PussyCat kwa kuwa ni mtu wa mbali lakini hawa kenge wa humu humu ndani
 
Tunakumbuka kuwa kulikuwa kuna fununu za jitihada za kutaka Mama asishike usukani baada ya Mzee kufariki, na hali hiyo ilichangia kuchelewa kutangawaza kifo cha Mzee mpaka pale Mkubwa wa Mapiganaji wetu alivyoingilia kati

Tunakumbuka wakati wa mazishi ya Mzee kule kijijini Mkubwa wa Mapiganaji alimwambia Mama Wapiganaji wetu wanaahidi utii kwake kama Mkubwa wetu na akamwambia ana dokezo la siri atampa wakiwa wawili tu

Ni wazi lile kundi au Genge halikuishia hapo, tulianza kusikia fununu za kutaka kutenganisha kofia ya Ukuu wa Chama na Nchi katika jitihada za kumkwamisha Mama kutawala.

Kundi/Genge hilo linaongozwa na wabunge wakiwemo Gwajima, walianzia Bungeni katika kile kilichoonekana kulinda utendaji wa Mzee, mpaka pale Mama alipotamka kuwa wanapoteza muda kubishana kwa mambo yasiyo ya msingi.

Matukio ya mifumo ya umeme kama lile la luku, moto soko kariakoo ambalo linahudumia sehemu kubwa wananchi na yanayofanana na hayo ni moja tu viashiria vya hujuma

Baada ya majaribio ya kihaini kushindwa kwa sasa, wanachofanya sasa ni kumkwamisha katika kuongoza kwa kumtanguliza mtu mwenye ujasiri na uzoefu wa kuropoka lakini pia mwenye platform ya kuongea kila mara, mtu anayezua utata ambaye akiongea atasikika na wengi, naye ni Gwajima ambaye ana nafasi kuongea kila Jumapili

Ndio kama Raia ana haki ya kutoa maoni,mawazo, dukuduku au ushauri kama Raia anayewajibika lakini ukiangalia namna ya uwasilishaji wake unagundua hana nia hiyo kama Raia anayewajibika bali ni 'vita binafsi' na Mkubwa wa nchi

Maneno kama " utaona kesho au kesho kutwa wanachanja, hizo ni feki MWAMBIENI ACHANJE ZOTE MILIONI MOJA ALIZOAGIZA"

" Hizo chanjo wanawataka mchanje kwa sababu WAMESHAKULA HELA ZA JUU wapewa pesa"

Hizo ni tuhuma, kejeli na kashfa za moja kwa moja, ni wazi wamemtanguliza front na watakuja wengine

Ukiangalia ni kwamba anamshambulia Mama sio Serikali, na hili suala chanjo ni moja tu uwanja wa MAPAMBAMO YA LILE KUNDI/GENGE DHIDI YA MAMA, haitoshia kwenye chanjo tu watakuja na kwengine lengo ni kumkwamisha na kuhakilisha 2025 wanaweka mtu wa lile kundi kama walivyotaka wao kipindi kile kabla ya kufeli.

Gwajima ni kifaranga tu, atafutwe Mama aliyempandisha kwenye chungu

Tumevuka salama kama Taifa kipindi kigumu lakini bado watu wanataka kuliingiza taifa katika mtanziko, HUU NI UHANI

MAMA umezungukwa na wengi wa hilo genge, chukulia mfano baada ya ile kaichanganya jamii na kuleta sintofahamu tulitarajia Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wake kuongea chochote badala yake wanaongea watu wa mtaani wakina Kambakamba na Vigwangala, wasaidizi wako wamekususia hawako na wewe

Nije kwenye chanjo, serikali ilishasema sio lazima ni hiari, zimekuja chanjo tofauti mtu achague, Kama tunawasiwasi na Wazungu na Wamarekani kuna chanjo za jamaa zetu URUSI, CHINA, CUBA na hata INDIA

Haikutakiwa kuwa mjadala na kushutumu viongozi, unaweza ukawaambia watu wako wasichome ukawapa sababu, lakini kuna makundi kama vile wanafunzi wanaosoma nje, wafanyabiashara, wanaokwenda kufanya kazi nje, na hata wanaokwenda kweye ibada kuhiji Israel, Makkah hata Vatican huko ni lazima chanjo. Sasa utawanyima vipi haki yao hawa? Mwaka huu ndugu zetu Waislam wengi wamekosa ibada ya hija kwa kutokuwa na chanjo

USHAURI KWA CHAMA TWAWALA, Msimfukuze uanachama na muacheni na ubunge wake, hilo ndilo analitaka litokee yeye na waliomtuma kwa namna anavyotenda, ni makusudi kabisa ni calculated movement
Wewe ni mwanaccm tu, mwache Gwajima na mambo yake.
 
CCM haina UBAVU wa Kumfukuza Uanachama wala kumnyang'anya UBUNGE Mpaka Sasa Matokeo ni GWAJIMA 3-0 ANAONGOZA dhidi ya Chanjo na ccm
 
Uchomaji wa shule,mabweni na hivi karbuni kuanza kuchoma masoko yetu kama Kariakoo ndio hasa msingi wa kesi ya ugaidi ulioko mahakamani.

Ndio maana tulikuwa tukiona baada ya majanga yale CHADEMA mlikuwa mkijikusanya eti kwenda kuwafariji.

Sasa tangu Hill genge likamatwe mbona hakuna mioto mashuleni wala sokoni tena.

Hii nchi vituko ni Vingi sana, CHADEMA seniors wanalijua Hill kwa undani na ndio maana huwasikii wakishupaza mishipa kama tulivyozowea kawasikia huko awali.

Mnakwama sana kwa siasa zenu za kinafiki mara mvae fulania za uanaharakati halafu mnataka kwenda kanisani kuleta vurugu.

Mara BAWACHA barabarani jogging na madera..

Jogging gani inakimbizwa na watu wa madera?

Free ole sabaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Tz kuna Mazombi mengi, na chanzo chake ni CCM, mfano mzuri ni wewe
 
Mazombi ni wale mnaotumia hila na mbinu chafu ilimradi kuuhadaa umma kuwa mnatetea haki kumbe nyuma ya pazia ni magaidi mko radhi kujidhuru ilimradi mpate kuuhadaa ulimwengu.
FREE OLE SABAYA!
 
Naishia kucheka tu, ila kweli Tz bado sana, hivi nchi yenye watu dizain yako inaweza kuweli kuendelea? Nacheka kama vile ni jambo jema wakati ni tatizo kubwa
 
Back
Top Bottom