Gwajima anawakilisha lile kundi linalotaka kumkwamisha Mama kuongoza nchi, hili la Chanjo ni kisingizio tu

Confusion na mitizamo tofauti ni jambo la kawaida lakini hii ni siasa ukimtazama vizuri Gwajima sio tena mjadala wa kuelimishana


Ndiyo maana nimeandika kuwa kuna watu wengi vichwani mwao bado wanamtazamo wa yale walokuwa wakiambiwa awamu ile.
Sasa kila mtu na hulka zake mfano ni Gwajima ana hulka zake na namna ya kusisitiza jambo analoliamini na anauwezo wa kuona rohoni na mwilini.

Nazani cha maana badala ya kumhusudu Gwajima kile alichosema badala yake nguvu ielekezwe ktk kuelimisha jamii na ku admit kuwa awali ilisemwaje!

Mfano nimemsikia Waziri wa afya ameanza kufafanua vizuri kuhusu hiyo chanjo ni jambo zuri.
 
e watajua wenyewe huko, kwani hali ikiwa ngumu huyo mwanamama siatajiuzuru, kwanza hapo alipo anaomba 2025 ifike mapema aachane. Nyie mnazani hata huo uongozi huyo mwanamama anauhitaji? ni basi tu katiba ilimlazim hakukuwa na namna.
 
e
watajua wenyewe huko, kwani hali ikiwa ngumu huyo mwanamama siatajiuzuru, kwanza hapo alipo anaomba 2025 ifike mapema aachane. Nyie mnazani hata huo uongozi huyo mwanamama anauhitaji? ni basi tu katiba ilimlazim hakukuwa na namna.
Sasa ndio mlitaka kuleta Chaos? Kwa nini msisubiri 2025 atakapokaa pembeni kama hataki?
 
Ningekuwa mwenyekiti wa CHAMA ningemgukuza GWAJIMA...ningemfuta UANACHAMA......

Mambo aliyofanya huyo jamaa si ya kuvumilika ...si ya kuvumiliwa haswa.....

#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaTanzania
#UtiiNiLazima
Gwajima ana'watu'wakimgusa anakinukisha
 
Watu wenyewe ni Kama wale wa "Mzee Mpili" walioshindwa kukizuia Kichwa Cha Thadeo Lwanga 🤣🤣
Hao watu sasa labda PussyCat kwa kuwa ni mtu wa mbali lakini hawa kenge wa humu humu ndani
 
Wewe ni mwanaccm tu, mwache Gwajima na mambo yake.
 
CCM haina UBAVU wa Kumfukuza Uanachama wala kumnyang'anya UBUNGE Mpaka Sasa Matokeo ni GWAJIMA 3-0 ANAONGOZA dhidi ya Chanjo na ccm
 
Uchomaji wa shule,mabweni na hivi karbuni kuanza kuchoma masoko yetu kama Kariakoo ndio hasa msingi wa kesi ya ugaidi ulioko mahakamani.

Ndio maana tulikuwa tukiona baada ya majanga yale CHADEMA mlikuwa mkijikusanya eti kwenda kuwafariji.

Sasa tangu Hill genge likamatwe mbona hakuna mioto mashuleni wala sokoni tena.

Hii nchi vituko ni Vingi sana, CHADEMA seniors wanalijua Hill kwa undani na ndio maana huwasikii wakishupaza mishipa kama tulivyozowea kawasikia huko awali.

Mnakwama sana kwa siasa zenu za kinafiki mara mvae fulania za uanaharakati halafu mnataka kwenda kanisani kuleta vurugu.

Mara BAWACHA barabarani jogging na madera..

Jogging gani inakimbizwa na watu wa madera?

Free ole sabaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Tz kuna Mazombi mengi, na chanzo chake ni CCM, mfano mzuri ni wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Tz kuna Mazombi mengi, na chanzo chake ni CCM, mfano mzuri ni wewe
Mazombi ni wale mnaotumia hila na mbinu chafu ilimradi kuuhadaa umma kuwa mnatetea haki kumbe nyuma ya pazia ni magaidi mko radhi kujidhuru ilimradi mpate kuuhadaa ulimwengu.
FREE OLE SABAYA!
 
Mazombi ni wale mnaotumia hila na mbinu chafu ilimradi kuuhadaa umma kuwa mnatetea haki kumbe nyuma ya pazia ni magaidi mko radhi kujidhuru ilimradi mpate kuuhadaa ulimwengu.
FREE OLE SABAYA!
Naishia kucheka tu, ila kweli Tz bado sana, hivi nchi yenye watu dizain yako inaweza kuweli kuendelea? Nacheka kama vile ni jambo jema wakati ni tatizo kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…