Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.................................................! hiyo kesho sikosi
 
Ulitaka akasome la utumwa!? Aaaaaah sorry, la uhuru!?
Anajifanya nina vyeti vyake !!! mkinichokoza nitatoa !!! kumbe kajaza magazeti ya udaku kanisani ndio anawasomea hao wafuasi wake anaowaita watoto. Punde wale wate waliotuhumiwa na kushtakiwa na kesi za madawa watakuwa waumini wake kwenda kanisani kusikiliza UBUYU !! USHILAWADU
 
"Kesho mapemaa mungu akiniamsha salama nawahi kiti cha mbele kabisa maana hayo makombora yatakaoshushwa yatakuwa ni double touch kama picha linavyojieleza"
Mwambie akaleeee mtoto
 
Hapana.Afanye kazi aliyosajili taasisi yake kufanya NO MORE,akianza kutoka nje tutamfungia leseni yake.Dola inamumulika kwa jicho kali.Dola iko imara
Kwani kazi ya kiongozi wa kiroho ni nini mkuu ?
 
Unapozungumzia wapenzi wa UBUYU ukae ukijua Sizonje ni mmojawao, so mind what you write here.
 
Umemaliza?
 
Sisi hatujui. Ila tunajua kuwa wajinga ni wale wanaowapigia kura viongozi kisa wamepewa chumvi na kanga! Ukiwemo na wewe!
Kiongozi, andaa suti yako ili kesho uwahi kiti cha mbele kumsikiliza Gwajima akijibu mapigo. Kama unajiandaa kwenda kumsikiliza Gwajima akijibu mashambulizi ya wabaya wake, utashindwa kuchukua rushwa ili ukipigie kura chama fulani??

Only in Tanzania!!
 
Hahahahahhahaaaa.....aisee....
 
Hapana.Afanye kazi aliyosajili taasisi yake kufanya NO MORE,akianza kutoka nje tutamfungia leseni yake.Dola inamumulika kwa jicho kali.Dola iko imara
Sawa ngoja msumeno ukiulazimisha kukata mbele tu badala ya kukata mbele na nyuma utakesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…