Backagain Afterages
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 151
- 118
ha ha ha aisee nimesoma hii comment nimecheka kwa mlipuko hadi watu wamestuka. sijui umefikiria nini"Ukisikia sheikh anaingia kanisani ndio kesho pale ufufuo na uzima"
Ha haaaaa[emoji23] [emoji23]"Ukisikia sheikh anaingia kanisani ndio kesho pale ufufuo na uzima"
wengine hatuna smart phone etiBashite Wafwaaa! ingieni instagram ya Mange pia mchungulie alichopost Hata kusoma ukakasi Bashite ataleta makubwa Jamani.
Ingia insta uone kadi ya mtoto yenyewe wameshindwa hata kuiumua yaani ndo imewaumbua kabisaaa!Kiongozi, andaa suti yako ili kesho uwahi kiti cha mbele kumsikiliza Gwajima akijibu mapigo. Kama unajiandaa kwenda kumsikiliza Gwajima akijibu mashambulizi ya wabaya wake, utashindwa kuchukua rushwa ili ukipigie kura chama fulani??
Only in Tanzania!!
Wacha tufaidi sieInchi haitajengwa kwa majibizano ya mambo binfsi ya watu.NAANZA KUKOSA MAPENZI NA NCHI YANGU AMBAYO INAENDESHWA KWA MITANDAO YA KIJAMII
Ndiyo kichaka chenu,policcm!!!Hana lolote Dola iko imara
Ukila kitu mamba usifike mtoniKama anajielewa Bashite angeresign mwenyewe kustiri kale ka-duchu ka heshima kalikobaki.
Mkuu wa nchi mwenyewe amekaa pembeni hujui cha kufanya bado anasikilizia upepo unavyoenda!Inchi haitajengwa kwa majibizano ya mambo binfsi ya watu.NAANZA KUKOSA MAPENZI NA NCHI YANGU AMBAYO INAENDESHWA KWA MITANDAO YA KIJAMII
ngoja mkuu nilikuwa sijascreen shotMkuu tuwekee hapa, wengine hatupo huko
Kibamia cha nani? Cha mkuu wa mjii? Aunimecheka sana kuna kibamia cha mtu kitawekwa hadharani eti kina shepu ya ajabu
cha boss wa mawinguKibamia cha nani? Cha mkuu wa mjii? Au
Broo kufumuliwa marinda ni dhambi MBAYA sana........Makonda siku hizi anajiona terminator anavamia ofisi za watu na kulazimisha wafanye mambo ya ajabu mwisho wa siku anawatia watoto wa watu matatizo na huyu aliyemchagua ni kiziwi,haoni au anatudharau wakazi wa DSM? Mana si kwa huyu kiumbe
Kumbe ndio majivunio?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]"Ukisikia sheikh anaingia kanisani ndio kesho pale ufufuo na uzima"
Hayo masihara mkuu!cha boss wa mawingu
Dolaccm au dola gani??Hapana.Afanye kazi aliyosajili taasisi yake kufanya NO MORE,akianza kutoka nje tutamfungia leseni yake.Dola inamumulika kwa jicho kali.Dola iko imara
Hayo masihara mkuu!
Atakuwa amezima simu, hataki kusikia 'msamehe'.brother "G" km namuona mda sasà hv yaani anahisi hapakuchi