Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Inchi haitajengwa kwa majibizano ya mambo binfsi ya watu.NAANZA KUKOSA MAPENZI NA NCHI YANGU AMBAYO INAENDESHWA KWA MITANDAO YA KIJAMII
 
Kiongozi, andaa suti yako ili kesho uwahi kiti cha mbele kumsikiliza Gwajima akijibu mapigo. Kama unajiandaa kwenda kumsikiliza Gwajima akijibu mashambulizi ya wabaya wake, utashindwa kuchukua rushwa ili ukipigie kura chama fulani??

Only in Tanzania!!
Ingia insta uone kadi ya mtoto yenyewe wameshindwa hata kuiumua yaani ndo imewaumbua kabisaaa!
 
Kama anajielewa Bashite angeresign mwenyewe kustiri kale ka-duchu ka heshima kalikobaki.
Ukila kitu mamba usifike mtoni
Wameamua kuziba masikio basi hata kufinywa atafinywa ili asikie kelele za wale waliosalitiwa na mkuu wake maana hakuna mchele usiokosa ndume naye ni ndume hata mchele ukitafunwa ndume lazima itemwe tu.
 
Mimi langu bando tuu huku mange,huku bashite,huku mkulu,huku gwajima na kule lemutu amekalia kumsafisha bashite [emoji23][emoji23]tanzania tanzania nchi yangu
 
Hapana.Afanye kazi aliyosajili taasisi yake kufanya NO MORE,akianza kutoka nje tutamfungia leseni yake.Dola inamumulika kwa jicho kali.Dola iko imara
Dolaccm au dola gani??
Mnavyowachafua watu kwenu mnaona raha ,wakiwajibu eti afanye kaz aliyosajilia KANISA....
Ovyoo kweli nyie...
[HASHTAG]#ukiwa[/HASHTAG] basha au mbashiwaji huwezi kuwa na akili sawasawa....
 
brother "G" km namuona mda sasà hv yaani anahisi hapakuchi
 
Back
Top Bottom