Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Siku hizi ameweka biblia pembeni analihubiri kwa kulisoma gazeti la mwanahalasi mwanzo mwisho, nafikiri toleo la wiki hii limeshatoka na kama kawaida lazima lizinduliwe kanisani kabla ya kusambaza ni hii imekuja baada ya boss wa gazeti hilo kutembelea kanisa hilo sasa ni kila jumapili lazima lisomwe
Umevamia jukwaa, jukwaa lenu halijaanzishwa bado, mkononi una kiroba kilichokatazwa na sirikali, kichwani una wazo upitie chimbo ukavute kisheri cha bange ulichokizima jana! Sasa hili wazo la kuandika hapa lazima litachanganyikana na kiroba na ganja na mwisho wake lazima uandike utumbo kama huu
 
Makonda ataondolewa kwa nguvu ya uma...yani sikuhiyo lazma lemtumboz ajinyee mkulu nae sijui atakua katka hali gani
 
Kanisa la Gwajima limekuwa kama uwanja wa taifa, mashabiki wa simba na yanga wanaenda kishabikia timu zao...

Baadhi ya sisi watanzania ni wajinga beyond repair!!
mkuu mbona umetoa avatar picha yako tuliyokuzoea ya Anoldi
 
ukiona mtu mzima analiaaa mbele za watu ujue kuna jamboooooooo
 
FB_IMG_1486720239211.jpg
 
Kwa mara ya kwanza kesho naenda church na popcorn...haa haaa haaa
 
Mange kasema kesho anamwaga ugali ,mboga na anavunja hadi vyombo vilivyowekea ugali....haaa haaa haaa balaa
 
Back
Top Bottom