GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huku Gwajima, kule Mange......Daaah
Single touch....Nipo mkuu natazama ya dunia
Mange February alkua na 890+k now yupo 950k mpk April Ana 1M.
As usualSingle touch....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]inasemekana kwisa ni shoga mzoefu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Duh 13?! Hzo si Likes zangu kwa dk.5 tu.Kuna wengine sasa mwaka wa 3 wana followers 13 tu na kila siku wanatiririka tu Mitandaoni.
Umevamia jukwaa, jukwaa lenu halijaanzishwa bado, mkononi una kiroba kilichokatazwa na sirikali, kichwani una wazo upitie chimbo ukavute kisheri cha bange ulichokizima jana! Sasa hili wazo la kuandika hapa lazima litachanganyikana na kiroba na ganja na mwisho wake lazima uandike utumbo kama huuSiku hizi ameweka biblia pembeni analihubiri kwa kulisoma gazeti la mwanahalasi mwanzo mwisho, nafikiri toleo la wiki hii limeshatoka na kama kawaida lazima lizinduliwe kanisani kabla ya kusambaza ni hii imekuja baada ya boss wa gazeti hilo kutembelea kanisa hilo sasa ni kila jumapili lazima lisomwe
mkuu mbona umetoa avatar picha yako tuliyokuzoea ya AnoldiKanisa la Gwajima limekuwa kama uwanja wa taifa, mashabiki wa simba na yanga wanaenda kishabikia timu zao...
Baadhi ya sisi watanzania ni wajinga beyond repair!!
Kwa mara ya kwanza kesho naenda church na popcorn...haa haaa haaa
Umevurugwa wewe sasa ndo umeandika nini??Kabisa gani linaendeshwa kwa style kama hii?
Mimi nimezifunga na mkanda mkuu mana si kwa kucheka hukuoya mbav zangu asee zimechoka kcheka