Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

WAKUU NI SUALA MUDA TU KWA SASA ILI KUPATA MBIVU NA MBICHI
 
Kuna watu wanalazimisha kuumbuka na kuvuliwa nguo kwa kumjaribu gwajima
 
Siku hizi ameweka biblia pembeni analihubiri kwa kulisoma gazeti la mwanahalasi mwanzo mwisho, nafikiri toleo la wiki hii limeshatoka na kama kawaida lazima lizinduliwe kanisani kabla ya kusambaza ni hii imekuja baada ya boss wa gazeti hilo kutembelea kanisa hilo sasa ni kila jumapili lazima lisomwe
 
Makonda siku hizi anajiona terminator anavamia ofisi za watu na kulazimisha wafanye mambo ya ajabu mwisho wa siku anawatia watoto wa watu matatizo na huyu aliyemchagua ni kiziwi,haoni au anatudharau wakazi wa DSM? Mana si kwa huyu kiumbe
 
Back
Top Bottom