Gwajima: Baada ya siku kumi ukirudi, muumini wako naye katuahidi kurudi!

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone malingo yako, bingiribingiri mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi.

Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop atatekeleza ahadi yake ya kuja kulipua bomu litakaloamua kama October tutatiki.
==================

Mwenyekiti wa TAHLISO na Taasisi ya Mama asemewe Geofrey Kiliba amesema atakabiliana vilivyo na Aliyekuwa mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima
 
Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone malingo yako, bingiribingiri mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi.

Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop atatekeleza ahadi yake ya kuja kulipua bomu litakaloamua kama October tutatiki.

View: https://vm.tiktok.com/ZMA868Esq/

Muumini anayeonekana jobless ameweza kupata pesa ya kulipia ukumbi na wanahabari kurusha press yake.
 
Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone maringo yako, bingilibingili mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi.

Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop atatekeleza ahadi yake ya kuja kulipua bomu litakaloamua kama October tutatiki.

View: https://vm.tiktok.com/ZMA868Esq/

Who is this guy?
 
Hutu tukipewa Efu 30 pale Lumumba na Kupewa lunch Mlimani city tunajiona tumemaliza Kila kitu.... haka Ka kiliba Nina faili lake moja ni kazinzi Grade 1 tangu kakiwa First year na wamekaahidi Eti kataingizwa kitengoni 😃😃😃😃🤣
 
MJINGA NA FALA MKUBWA HY. HUWEZI SHINDANA NA GWAJIMA UKASHINDA HY MAZA WK MWENYEWE ANAPUMULIA MASHINE
 
Hutu tukipewa Efu 30 pale Lumumba na Kupewa lunch Mlimani city tunajiona tumemaliza Kila kitu.... haka Ka kiliba Nina faili lake moja ni kazinzi Grade 1 tangu kakiwa First year na wamekaahidi Eti kataingizwa kitengoni 😃😃😃😃🤣
Mwasisi wa kuitumia TAHLISO kupenya kwa viongozi ni Paul Makonda. Wenyeviti wa TAHLISO waliofuata nao wanatamani kupita njia zile zile za Makonda.
 
Makonda mwenyewe mwisho wake u Karibu na mbali naivyo ashukuru anakoenda kuroga Roga watu Hadi wanamuona very decent ila Kitengoni kamwe Hawezi kuingia. Uyo dogo anatafta kick sana huku hana watu nyuma WA kumbeba tofauti na Heri James na Paul M.
 
Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone maringo yako, bingilibingili mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi.

Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop atatekeleza ahadi yake ya kuja kulipua bomu litakaloamua kama October tutatiki.

View: https://vm.tiktok.com/ZMA868Esq/

Hawa vijana wajinga wajinga huwa wanawatoa wapi ?

Ningekuwa na mamlaka wahuni kama hawa ningewatafutia shughuli ya kufanya.
 
Makonda mwenyewe mwisho wake u Karibu na mbali naivyo ashukuru anakoenda kuroga Roga watu Hadi wanamuona very decent ila Kitengoni kamwe Hawezi kuingia. Uyo dogo anatafta kick sana huku hana watu nyuma WA kumbeba tofauti na Heri James na Paul M.
Haya mambo haya ya kupenya yanahitaji bahati nayo. Ingawa Heri yeye hajapita Serikali za wanafunzi. Nawafahamu vizuri kwasababu hawa kwa kiasi tumekuwa pamoja kwenye uongozi CCM na Vyuo vikuu.
 
Back
Top Bottom