Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Unapowasha radio unachosikiliza ni sauti kutoka kwenye spika,,lakini spika haina uwezo wa kutoa sauti bila msaada wa vifaa vingine.ASIFANYE MASIHARA NA CHEO CHA ASKOFU.
Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone malingo yako, bingiribingiri mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi.
Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop atatekeleza ahadi yake ya kuja kulipua bomu litakaloamua kama October tutatiki.
View: https://vm.tiktok.com/ZMA868Esq/
Keshalipwa ili amzimeMuumini anayeonekana jobless ameweza kupata pesa ya kulipia ukumbi na wanahabari kurusha press yake.
Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone maringo yako, bingilibingili mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi.
Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop atatekeleza ahadi yake ya kuja kulipua bomu litakaloamua kama October tutatiki.
View: https://vm.tiktok.com/ZMA868Esq/
Nadhani ni mwenyekiti wa TAHLISO, ila pia yupo active kwenye movement ya "MAMA ASEMEWE"Who is this guy?
MJINGA NA FALA MKUBWA HY. HUWEZI SHINDANA NA GWAJIMA UKASHINDA HY MAZA WK MWENYEWE ANAPUMULIA MASHINEHutu tukipewa Efu 30 pale Lumumba na Kupewa lunch Mlimani city tunajiona tumemaliza Kila kitu.... haka Ka kiliba Nina faili lake moja ni kazinzi Grade 1 tangu kakiwa First year na wamekaahidi Eti kataingizwa kitengoni πππππ€£
Mwasisi wa kuitumia TAHLISO kupenya kwa viongozi ni Paul Makonda. Wenyeviti wa TAHLISO waliofuata nao wanatamani kupita njia zile zile za Makonda.Hutu tukipewa Efu 30 pale Lumumba na Kupewa lunch Mlimani city tunajiona tumemaliza Kila kitu.... haka Ka kiliba Nina faili lake moja ni kazinzi Grade 1 tangu kakiwa First year na wamekaahidi Eti kataingizwa kitengoni πππππ€£
Makonda mwenyewe mwisho wake u Karibu na mbali naivyo ashukuru anakoenda kuroga Roga watu Hadi wanamuona very decent ila Kitengoni kamwe Hawezi kuingia. Uyo dogo anatafta kick sana huku hana watu nyuma WA kumbeba tofauti na Heri James na Paul M.Mwasisi wa kuitumia TAHLISO kupenya kwa viongozi ni Paul Makonda. Wenyeviti wa TAHLISO waliofuata nao wanatamani kupita njia zile zile za Makonda.
Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone maringo yako, bingilibingili mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi.
Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop atatekeleza ahadi yake ya kuja kulipua bomu litakaloamua kama October tutatiki.
View: https://vm.tiktok.com/ZMA868Esq/
HIVI Makonda aliwezaje kuwa kiongozi wa TAHLISO ?Mwasisi wa kuitumia TAHLISO kupenya kwa viongozi ni Paul Makonda. Wenyeviti wa TAHLISO waliofuata nao wanatamani kupita njia zile zile za Makonda.
Haya mambo haya ya kupenya yanahitaji bahati nayo. Ingawa Heri yeye hajapita Serikali za wanafunzi. Nawafahamu vizuri kwasababu hawa kwa kiasi tumekuwa pamoja kwenye uongozi CCM na Vyuo vikuu.Makonda mwenyewe mwisho wake u Karibu na mbali naivyo ashukuru anakoenda kuroga Roga watu Hadi wanamuona very decent ila Kitengoni kamwe Hawezi kuingia. Uyo dogo anatafta kick sana huku hana watu nyuma WA kumbeba tofauti na Heri James na Paul M.