Uchaguzi 2020 Gwajima, dharau hizi hutafika popote

Uchaguzi 2020 Gwajima, dharau hizi hutafika popote

Ina maana ninyi mnaotutaadharisha mnafikiri sisi wana Kawe hatuna akili? Maana kuhofia kuwa tunaweza tukampa Gwajima kura ni kututukana kabisa. Iko wazi gwajima hawezi kuchaguliwa na watu wanaojielewa.
 
Ukweli mchungu,Gwajima ndiye mbunge wa mteule,halima anapoteza muda wake tu

We kama unapenda hayo mauchafu yake mchague ila watu wanaojitambua hawawezi kumchagua huyo ana makandokando mengi mno Siasa haitaki hayo makandokando yake askofu kabisa hadi kwenye ngono na kujirekodi kabisa HAPANA siyo jimbo la kawe labda akateuliwe kama wana pendwa sana
 
Bahati mbaya au nzuri tayar Gwajima anakubalika kwenye system, atakishindwa ubunge wa kuchaguliwa atapata wa kuteuliwa
 
Gwajima ana akili nyingi usije ukamfananisha na huyo mwanamke anayeishi kihuni

IMG_2037.JPG


Angekuwa na akili nyingi asingeomba huu msamaha. Sisiem wenye akili walishaondoka toka mwenyekiti apunguze posho mmebaki nyie wafia tumbo.Hivi buku 7 inakutosha kweli kushinda humu mtandaoni?
 
Duu mwaka huu utapata shida sana maana umeng'angania sera ya Bi Kidude lakini Gwajima ndiyo atakuwa Mbunge wa Kawe maana yeye anazungumzia sera za maendeleo ya Kawe na Tanzania.
 
Duu mwaka huu utapata shida sana maana umeng'angania sera ya Bi Kidude lakini Gwajima ndiyo atakuwa Mbunge wa Kawe maana yeye anazungumzia sera za maendeleo ya Kawe na Tanzania.

Hata shetani ana sera za maendeleo Mkuu.
Hatuwezi mchagua shetani kisa anasera za maendeleo.

Shetani ni mbaguzi, mdini, mkabila, dikteta n.k
 
Ameomba radhi kutumia jina la Bi kidude sio kumuomba radhi huyo halima anayeishi kihuni

Watakaompa kura Gwajima ni wenye akili ndogo kama nyie vijana wa mbogamboga, Kawe ina Watu wasomi wanaKawe sio wale kondoo anaowajaza pale kwenye zile banda zake ubungo. CCM hamna sera mmekalia tu madaraja, barabara ndege mara ntapeleka vijana Japan kupata mafunzo ya kuendesha boti[emoji16][emoji16] ujinga mtupu. Level ya Ubunge unashindwa kutambua umuhim wa Bi kidude katika Taifa hili mpaka unafikia kumdhalilisha hadharani!! Vipi swala la buku7 inakutosha kushinda humu na kuendesha maisha ya famila yako?
 
Usuhamishe goli wewe unajua na kila mmoja anajua anafahamu mashambulizi yalikuwa yakiekezwa wapi.
 
Nomepita hapo kqnisani kwake nilichokiona Mungu atatendaaa jaman mabasi yamebeba ktk mabasi ya rangi ya kijani na njano na mabendera na maboda boda kibao ...

Ss najiuliza hapa Je kama hawa watu wanapelekwa kumsinrikiza mchungaji wao je iyo olotobaa 23 sijui waamuz ni. Wana kawe je hao waliobebwa jaman si ni kujidanganya
 
Mtu anyeamini Gwajima ana akili nyingi sio wa kumsogelea karibu na nashangaa wanafanya nini watu wa aina hiyo hapa Dar maana walishatangaza kuhamia Dodoma
 
Kosa lipo wapi kama halima kapewa sifa za bi Kidude? Unajua bi kidude ni nick name? Maana ya bi kidude unaijua? Punguzeni mihemko na chuki zenu. Mdee kapewa sifa za mtu maarufu kabisa ukanda wa maziwa makuu mtu mwenye award nyingi za kimataifa kwanye sanaa bado mnamuona Gwajima mtu mmbaguzi..vp yule alimuita mrembo fulan ...uliandika post ya kukemea kauli ile...au ulicheka tu na mambo yakaenda kama yalivyo. Nikuache kwa swali Wewe ni nani yake mdee mpaka mishipa ikutoke kumtetea ?
 
Back
Top Bottom