Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Hivi kwani chanjo ya Corona na masuala ya Gwajima kukamatwa na warembo, vina uhusiano gani?

Yaani waziri mzima MD badala ya kujibu hoja za Gwajima juu ya Corona anakimbilia kutuambia mambo ya kina Chifupa sijui warembo!
 
Back
Top Bottom