Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Nafikiri Gwajima amehoji kuna ubaya gani kuleta hoja hiyo badala ya majibu ya maswali yake? Tulisema ili ku prove ujinga wa Gwajima uwekwe mdahalo! Sasa kaomba mdahalo mwenyewe, tuone mdahalo sasa badala ya kumjibu kwa kutumia Google na sites za chanjo.

Tukubali hizi chanjo hatujazitafiti wenyewe vya kutosha na kinachoogopesha zaidi kuhusu huu ugonjwa ni kuanzia kuzuka kwake hadi tulipo ni dhahiri kuna global ajenda ambayo Imejificha na ni bora tujiridhishe vya kutosha.
Mimi naamini yule ni Gwajima [huyu askofu] kwenye ile sextape.

Ila pia nashangaa sana kuona mtu asiye na mafunzo yoyote yale kwenye utabibu, sayansi ya magonjwa ya maambukizi, chanjo, na kadhalika, kuwa na ushawishi mkubwa kama huo alionao Askofu Gwajima.
 
Unakula kondoo wa bwana.
Hata hivyo sura ilikuwa ya Gwajima ila mkono wa Baunsa
 
Kitu nilicho kipenda Leo kwaAskofu Gwajima ni kuhusu warembo.

Kama Askofu anapenda warembo na kuona shida sisi Wengine sio ndio tuanze kumiliki hata warembo kumi kumi kwa kila mwanaume![emoji23]
 
Hivi kwani chanjo ya Corona na maswala ya Gwajima kukamatwa na warembi,vina uhusiano gani??

Yaani waziri mzima MD badala ya kujibu hoja za Gwajima juu ya Corona anakimbilia kutuambia mambo ya kina Chifupa sijui warembo!
Wizara ya afya ni hovyo kabisa.
Alikuwa anatoa mifano mingi zaidi ni kwa namna gani huyo mhuni hafai kuaminiwa. kuna tatizo ktk uthibitisho huo mwingine wa uhuni wa huyo mhuni?!!!
 
Unafahamu watu wengi hawafahamu kuwa Mungu akikutuma ujumbe kwa watu wake huwa pia anakupa "How to present the same to his people; and even what to say and what not. In short he gives you the presentation wisdom"!. Hakuna kukurupuka. Sina uhakika Askofu katumwa na nani?
 
Wa madhabauni anakula vya madhabauni, yaani ikiwezekana ale kondoo walionona😄😄
 
Alikuwa anatoa mifano mingi zaidi ni kwa namna gani huyo mhuni hafai kuaminiwa. kuna tatizo ktk uthibitisho huo mwingine wa uhuni wa huyo mhuni?!!!
Tunahitaji hoja za kitabibu...MD mzima kutoa mipasho badala ya hoja za kitabibu ni wendawazimu.,yaani badala ya kujibu hoja zake yeye anamshmbulia na kumuelezea yeye.

Huwezi kuthibitisha ama kutoa majibu ya chanjo kwa hoja za video za ngono.
 
Wewe ngabu nyie wasukuma ukikamatwa na mrembo tena cheupe hiyo ni sifa kubwa ambayo unaweza kuwazawadia ng'ombe wakamataji kwa kuweza kukukamata....
 
Ila uongo mbaya hii tick ya JF ya Verification kwa member ni mbaya yaani mbaya Ile kinyama.(mvutoless).

Iboreshwe.
 
Back
Top Bottom