uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Kasemaje sasa? Weka nukuu ya alichosema basi..
Hakuna neno nilikamatwa” Labda kama una ugomvi naye unataka mzalilisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasemaje sasa? Weka nukuu ya alichosema basi..
Sasa si uweke wewe alichosema!Hakuna neno nilikamatwa” Labda kama una ugomvi naye unataka mzalilisha!
Acha ujinga wewe. Unarekebishwa bado unakaza fuvu.Sasa si uweke wewe alichosema!
Au huna?
Ameshalijibu hilo amesema "imani yetu haiko kwenye usajili. Imani yetu iko kwa YESU KRISTO"Huyu bado kidogo watamnyang'anya kibali cha kanisa
Suleiman mpendwa wa Mungu alikuwa na wangapi?Kama baba askofu kasema warembo hawana ubaya we ni nani mpaka upinge.
Warembo hoyee.
Ila huyu askofu anapenda sana drama!
Weka alichokisema basi…shida iko wapi?Acha ujinga wewe. Unarekebishwa bado unakaza fuvu.
Pale unapojaribu kumdefend 'mzinzi' chidi.Kupinga maneno ya Baba askofu ni kutaka kupata dhambi za bure, sisi tunasema neno lake tumelishika warembo hawana ubaya wowote
Tumewaza pamoja hili, na utasikia pale pana mradi unapitishwa basi kwisha habari yake laa sivyo awasikilize wakubwa wake mara moja.Huyu bado kidogo watamnyang'anya kibali cha kanisa
Ndo nilivoolewa piaTuangalie na kutafakari mantiki ya swali;
1. Kwanza tukumbuke kuwa swali hili anaulizwa shemeji mtu Dr Dorothy Gwajima, kuwa let's assume that "nilikamatwa" na mrembo, so what....?
2. And again, anaulizwa shemeji mtu Dr. Dorothy Gwajima kuwa, let's assume that, "nilikamatwa" na mrembo, je hiyo inajibu hoja za wanaotumia "hiari yao" kukataa chanjo hii na hivyo kuamua kutochanjwa...?
HoyeeeKama baba askofu kasema warembo hawana ubaya we ni nani mpaka upinge.
Warembo hoyee.
Biblia hairuhusu kulipiza kisasiWaziri ameyataka mwenyewe kwa kumu-attack personally Rev.Gwajima kwa kumkejeli na kumdhihaki!
Huenda hamjui vizuri.
Ni dawa ipi inayotumika hospitali ambayo tumeifanyia utafitiNafikiri Gwajima amehoji kuna ubaya gani kuleta hoja hiyo badala ya majibu ya maswali yake? Tulisema ili ku prove ujinga wa Gwajima uwekwe mdahalo! Sasa kaomba mdahalo mwenyewe, tuone mdahalo sasa badala ya kumjibu kwa kutumia Google na sites za chanjo.
Tukubali hizi chanjo hatujazitafiti wenyewe vya kutosha na kinachoogopesha zaidi kuhusu huu ugonjwa ni kuanzia kuzuka kwake hadi tulipo ni dhahiri kuna global ajenda ambayo Imejificha na ni bora tujiridhishe vya kutosha.
Si umeambiwa binti ni waluwalu?[emoji1787][emoji1787]Hivi mume wa kwanza wa Dorothy ni nani.....!!? Maana Askofu Rashid amehint kuwa dada aliachika before.