Askofu au kiongozi wa dini yoyote, au serikali ni watu wanaoheshimika sana katika jamii,mahubiri yao yanapaswa kuheshimiwa na waafuasi au jamii inayowazunguka kwa ujumla.vitabu vya dini vinakataza vitendo vya ovyo kwa waumini wao au jamii,miongoni mwa vitendo hivyo ni kukemea vitendo vya zinaa au uzinzi.Makanisa na Miskiti iwe Ina kemea viongozi wa taasisi zao kukengeuka ,wawe wanaishi kwa kufuata maadili mema na kujizuia kufanya vitendo vya ovyo na Wala siyo ufahari kujinasibu kwa vitendo vya vinavyokatazwa na maandiko ya neno la mungu,mkeo wa ndoa na wanao wanajisikiaje wanaposikia malumbano Kama haya kutoka kwa watu wanaowaamini na kuwaheshimu.