Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Alisema Askofu Gwajima hana utaalamu wa mambo ya afya,nikajua ataleta Sasa hoja za kitaalamu,,,
Yaani anakuja anamjibu anamwambia eti mbona Rais amechanja.
Rais kuchanja siyo tija,kwanza hata Rais hana taaluma ya utabibu.

Haya mambo yanajibiwa kipumbavu Sana.
Ila nchi hii walokole na watapeli wenu wanajiita maaskofu kama huyo gwajima sijui huwa wanawapa nini maana wote mpo kama watu ambao akili zime freeze.
 
Family affairs made public:the tale of gwaji boy and gwaji girl.
 
Ila nchi hii walokole na watapeli wenu wanajiita maaskofu kama huyo gwajima sijui huwa wanawapa nini maana wote mpo kama watu ambao akili zime freeze.
Kwani mada ni Gwajima na video za ngono au mada ni Chanjo ya Corona?

Basi hata wewe akili yako imeganda tu .
 
Kweli watanzania tuna akili mbovu kupitiliza. Video ya ngono, inaonyesha kwamba siyo mtu mkweli na hawezi kuaminika. Ni tapeli na mpotoshaji. Watanzania wengi ni wajinga ndiyo maana. Akiweza kumsaliti Mungu anayemuamini kwa kumdanganya Mungu mwenyewe ndo itakuwa binadamu wenye akili za nyumbu?
Kwahiyo hoja za video za ngono ndio zina majibu juu ya mambo ya Chanjo?
Huoni kama una ubovu wa akili pia?
 
Tunahitaji hoja za kitabibu...MD mzima kutoa mipasho badala ya hoja za kitabibu ni wendawazimu.,yaani badala ya kujibu hoja zake yeye anamshmbulia na kumuelezea yeye.

Huwezi kuthibitisha ama kutoa majibu ya chanjo kwa hoja za video za ngono...ni upumbavu.
Mimi binafsi nafkili huyu mama sio MD maana vitu anavyovifanya sio professional naomba tu rejee cv yake

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Yule Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alikuwa akipigwa mashambulizi alikuwa hajibu mpaka upepo ukatulia(Kila jumapili mchungaji alikuwa analeta habari mpya kwa waumini),tuliyajua mengi hadi kijiji cha Kolomije!!!

Sasa Waziri aache kujibu yanayoendelea ili upepo upoe ,la sivyo,safari ya kisiasa itakuwa fupi,maana Waziri alizoea kudhalilisha wengine mbele ya vyombo vya habari sasa Mungu anampitisha mule mule!
Gwajima la Kinyiramba linapepewa na good karma, Leo sijui atajibu nini?
Jumapili tunaenda kula chakula CHA kiroho, namna alivyoachika kwenye ndoa zake mbili
 
Ndg nakuheshimu sana lakini nimekushangaa kuchukua kipande kimoja cha aliyoyasema Gwajima badala ya kuleta mjadala wa hoja alizomjibu waziri.


Nawashangaa mnaomshangaa Gwajima, mjibuni kwa hoja na si kuleta udaku!!
Huyo ngabu naye hajielewi tu, na yeye ni walewale mipasho!
 
Ndio mara ya kwamza kumuoma kiomgozi wa dini akijisifia mbele ya kadamnasi kwa uzinzi. Nadhani hii ndio funga mwaka kabisa.
Kiongozi wa dini haoni aibu kufanya uzinzi.
Ulitaka awe shoga....
bora wamemkuta akikaza
 
Back
Top Bottom