bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
Lakini hoja haijajibiwaKuna ubaya mkubwa hasa kwa mtumishi kama wewe, unaonyesha mfano gani? Chunga kondoo wa bwana kwa uadilifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hoja haijajibiwaKuna ubaya mkubwa hasa kwa mtumishi kama wewe, unaonyesha mfano gani? Chunga kondoo wa bwana kwa uadilifu.
Acheni kupotosha! Tutawakamata! Naamuru majeshi yooooote yakukamate yakakuhoji mfyuuuuuu 😡! 😀😃😃😃😄!Kupinga maneno ya Baba askofu ni kutaka kupata dhambi za bure, sisi tunasema neno lake tumelishika warembo hawana ubaya wowote
Hapa watu wanahoji kuhusu maadili ya ''askofu''. Hawahoji kuhusu chanjo. Wewe huoni mchanga kondoo kukiri kuwa anatafuna kondoo wake ni kinyume na maadali ya jamii na maandiko ya Mungu?
Mimi naamini yule ni Gwajima [huyu askofu] kwenye ile sextape.
Ila pia nashangaa sana kuona mtu asiye na mafunzo yoyote yale kwenye utabibu, sayansi ya magonjwa ya maambukizi, chanjo, na kadhalika, kuwa na ushawishi mkubwa kama huo alionao Askofu Gwajima.
Mbaya zaidi kuna makondoo yanajilengeshaga!Wa madhabauni anakula vya madhabauni, yaani ikiwezekana ale kondoo walionona😄😄
Hao ndio wako wengi utakuta mwingine ni mke wa mtu anaenda kueleza kila shida ya ndoa kwa mchungaji na hapo ndipo wanapata loophole ya kuwatafunaMbaya zaidi kuna makondoo yanajilengeshaga!
Hapana Madam. Ni hivi: mimi ni mdhambi lakini walau sijiiti ni kiongozi wa dini. Kiongozi anatakiwa kuwa mfano kwa kila mtu. Gwajima anapohamasisha uasherati na waumini wafanye nini?Yaani we leo ndio unajali maandiko ya Mungu.
Umeacha lini zile dhambi zako pendwa!?
Hakuna zambi ndogo au kubwa. Amerekodiwa akiwa anazini. Hvyo basi hastahili kuwa kiongozi wa dini. Aishi kama sisi maamuma. Hana moral authority ya kukataza mabaya. Kumbuka kwenye biblia, the adulterer and adulteress shall surely be put to death. Ni ajabu kwamba mtu anaetumia biblia kila jumapili kuwalingania watu dini, lakini yeye ndio anakuwa wakwanza kwenda kinyume na yale anayowakataza waumini wake. Na majuha wanaona ni okay.Ulitaka awe shoga....
bora wamemkuta akikaza
And that is last resolution.I hope Dorothy hatajibu
Otherwise Mama SSH tunaomba umtoe hapo.,
Denoo,umejieleza vizuri,ila kasoro ipo kidogo.Naomba utusaidie tafsiri,halisi Ki Biblia ya Nabii wa Uongo (Kibiblia) wewe unaitafsri vipi, halafu tutaendelea.Hivi wale waumini wake huwa wanaamini kila jumapili wanaenda kanisani kwa ibada au kwenye mipasho?
Huyu ndie mfano halisi wa nabii wa uongo walioandikwa kwenye biblia, amekosa kabisa sifa za kuitwa Askofu.
Namshauri Rais asimtoe Waziri maana gwajima boy mpotoshaji wewe ungekuwayot Waziri umgefanyaje kwa upotoshaji wak
Dah enzi za Magufuli Nani angeenda against yeye, maana alijua kila kitu, na akipingwa mtu unapotezwa. Mimi sio daktari ila chanjo huwa muhimuNasikitika sana jinsi viongozi na baadhi ya madaktari wetu wanavyotupotosha.Sasa hatujui tuchanjwe au tusichanjwe.Jana au juzi ileeeee walisema chanjo haifai,tujifukize.Leo hii walewale,chanjo ile ile leo wanasema kwa msisitizo.Chanjoooo,chanjooo,harakaaaaaa chanjooooooo.Huu msisitizo umetoka wapi.Chanjo ni hiari mmeshaeleza wananchi kwa nguvu zenu zote, sasa pigeni kelele kwenye ujio wa tozo kubwa,tozo ya majengo (mimi naiita,Tanesco service line fee iliyofutwa,sasa imerudi kinyumenyume) ili zifutwe tutafute njia nyingine za mapato kama,bei za pombe,sigara,air port fee n.k.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama baba askofu kasema warembo hawana ubaya we ni nani mpaka upinge.
Warembo hoyee.