Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Acheni
Kupinga maneno ya Baba askofu ni kutaka kupata dhambi za bure, sisi tunasema neno lake tumelishika warembo hawana ubaya wowote
Acheni kupotosha! Tutawakamata! Naamuru majeshi yooooote yakukamate yakakuhoji mfyuuuuuu 😡! 😀😃😃😃😄!
 
Yaani we leo ndio unajali maandiko ya Mungu.
Umeacha lini zile dhambi zako pendwa!?
Hapa watu wanahoji kuhusu maadili ya ''askofu''. Hawahoji kuhusu chanjo. Wewe huoni mchanga kondoo kukiri kuwa anatafuna kondoo wake ni kinyume na maadali ya jamii na maandiko ya Mungu?
 
Utaendelea kushangaa hivyo hivyo!
Mimi naamini yule ni Gwajima [huyu askofu] kwenye ile sextape.

Ila pia nashangaa sana kuona mtu asiye na mafunzo yoyote yale kwenye utabibu, sayansi ya magonjwa ya maambukizi, chanjo, na kadhalika, kuwa na ushawishi mkubwa kama huo alionao Askofu Gwajima.
 
Nawashangaa waliokosa matumaini wanajazana kwa mzinzi huyu.......wajiulize hutu fake
 
Yaani we leo ndio unajali maandiko ya Mungu.
Umeacha lini zile dhambi zako pendwa!?
Hapana Madam. Ni hivi: mimi ni mdhambi lakini walau sijiiti ni kiongozi wa dini. Kiongozi anatakiwa kuwa mfano kwa kila mtu. Gwajima anapohamasisha uasherati na waumini wafanye nini?
 
Ni kweli kabisa. Warembo wameumbiwa wanaume. Tatizo loko wapi? Kwani Gwajima ni Yesu kiasi kwamba asiwapende na kujiburudisha na warembo?
 
Ulitaka awe shoga....
bora wamemkuta akikaza
Hakuna zambi ndogo au kubwa. Amerekodiwa akiwa anazini. Hvyo basi hastahili kuwa kiongozi wa dini. Aishi kama sisi maamuma. Hana moral authority ya kukataza mabaya. Kumbuka kwenye biblia, the adulterer and adulteress shall surely be put to death. Ni ajabu kwamba mtu anaetumia biblia kila jumapili kuwalingania watu dini, lakini yeye ndio anakuwa wakwanza kwenda kinyume na yale anayowakataza waumini wake. Na majuha wanaona ni okay.
 
Hivi wale waumini wake huwa wanaamini kila jumapili wanaenda kanisani kwa ibada au kwenye mipasho?

Huyu ndie mfano halisi wa nabii wa uongo walioandikwa kwenye biblia, amekosa kabisa sifa za kuitwa Askofu.
Denoo,umejieleza vizuri,ila kasoro ipo kidogo.Naomba utusaidie tafsiri,halisi Ki Biblia ya Nabii wa Uongo (Kibiblia) wewe unaitafsri vipi, halafu tutaendelea.
 
Nasikitika sana jinsi viongozi na baadhi ya madaktari wetu wanavyotupotosha.Sasa hatujui tuchanjwe au tusichanjwe.Jana au juzi ileeeee walisema chanjo haifai,tujifukize.Leo hii walewale,chanjo ile ile leo wanasema kwa msisitizo.Chanjoooo,chanjooo,harakaaaaaa chanjooooooo.Huu msisitizo umetoka wapi.Chanjo ni hiari mmeshaeleza wananchi kwa nguvu zenu zote, sasa pigeni kelele kwenye ujio wa tozo kubwa,tozo ya majengo (mimi naiita,Tanesco service line fee iliyofutwa,sasa imerudi kinyumenyume) ili zifutwe tutafute njia nyingine za mapato kama,bei za pombe,sigara,air port fee n.k.
Namshauri Rais asimtoe Waziri maana gwajima boy mpotoshaji wewe ungekuwayot Waziri umgefanyaje kwa upotoshaji wak
 
Nasikitika sana jinsi viongozi na baadhi ya madaktari wetu wanavyotupotosha.Sasa hatujui tuchanjwe au tusichanjwe.Jana au juzi ileeeee walisema chanjo haifai,tujifukize.Leo hii walewale,chanjo ile ile leo wanasema kwa msisitizo.Chanjoooo,chanjooo,harakaaaaaa chanjooooooo.Huu msisitizo umetoka wapi.Chanjo ni hiari mmeshaeleza wananchi kwa nguvu zenu zote, sasa pigeni kelele kwenye ujio wa tozo kubwa,tozo ya majengo (mimi naiita,Tanesco service line fee iliyofutwa,sasa imerudi kinyumenyume) ili zifutwe tutafute njia nyingine za mapato kama,bei za pombe,sigara,air port fee n.k.
Dah enzi za Magufuli Nani angeenda against yeye, maana alijua kila kitu, na akipingwa mtu unapotezwa. Mimi sio daktari ila chanjo huwa muhimu
 
Back
Top Bottom