Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #61
Ina ubaya gani?Ila uongo mbaya hii tick ya JF ya Verification kwa member ni mbaya yaani mbaya Ile kinyama.(mvutoless).
Iboreshwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina ubaya gani?Ila uongo mbaya hii tick ya JF ya Verification kwa member ni mbaya yaani mbaya Ile kinyama.(mvutoless).
Iboreshwe.
Inang'aa Kama vile bati la msauzi.Ina ubaya gani?
Mufuaji misukule.com.tzWaziri ajibu hoja ya gwajima, ajibu kitaaluma zaidi.
Mambo ya mrembo hayatuhusu kwa sasa yalishapita.
Wanaume mmeumbwa kwa tamaa kilichomtokea gwajima hata wewe waweza kikakutokea.
Na ndio walio wengi.Mimi nachoshangaa ni waumini wake kushangilia kwamba hakuna ubaya.
Asee wajinga bado wengi Tanzania
Kwani wanaodrive global agenda wanajali kuhusu taifa? All they care is money, kila kitu kwao ni fursa.Global ajenda ikawaathiri mpaka wao wenyewe?
Hamjafanya utafiti, huo uwezo wa kufanya hizo tafiti mnao? kama upo fanyeni mnasubiri nini?
Anataka mdahalo na wanasayansi, akiambiwa tafiti inapingwa kwa tafiti atajibu nini? au ataleta ngonjera zake za kuwafurahisha mashabiki wake.
Alisema Corona haitakuja nchini, ikawaje? now anajidai hataki kuchanjwa ili kuwazubaisha msio na kumbukumbu ya uongo wake.
TAGA siamini ni wewe unalalamika. Siku hizi mmejuwa wapoleeeeeNdg nakuheshimu sana lakini nimekushangaa kuchukua kipande kimoja cha aliyoyasema Gwajima badala ya kuleta mjadala wa hoja alizomjibu waziri.
Nawashangaa mnaomshangaa Gwajima, mjibuni kwa hoja na si kuleta udaku!!
Dude limeanza kupaaWaziri ameyataka mwenyewe kwa kumu-attack personally Rev.Gwajima kwa kumkejeli na kumdhihaki!
Huenda hamjui vizuri.
Mkuu mpe nafasi atuelimishe. Usimfanyie hivo banaImeshindwa serikali nzima utaweza wewe ndugu, hata hao waliounda chanjo wenyewe wameshindwa kujibu utaweza wewe ndugu yangu!
Alisema Askofu Gwajima hana utaalamu wa mambo ya afya,nikajua ataleta Sasa hoja za kitaalamu,,,Mtu asie na utaalam wa mambo ya afya na utabibu(Bishop Gwajima) anauliza maswali kuhusu chanjo, mtaalam wa afya na utabibu MD na waziri wa afya badala ajibu maswali kitaalam ana amua kumshambulia personally muuliza maswali.
Hapa weledi wa waziri uko wapi? Kuna majibu mawili tu unapata ukifikiria majibu ya waziri kwa bishop. Haijui corona wala chanjo zake na anachokifanya ni kwenda tu na script.
Hamna wakati Antony Fauci alipitia wakati mgumu kama kipindi maambukizi yako kwenye peak USA ila hamna wakati huyu mtaalam aliwashambulia personally wauliza maswali.
Waziri wetu uswahili unamzidi hadi anapitiliza miiko na maadili ya kazi yake.
Mi nimuulize maswali mtaalam mmoja JF kuhusu mambo nisiyoyaelewa hapa jukwaani halafu badala anijibu kitaalam aanze kunishambulia kuhusu user name yangu, avatar, muda niliojiunga JF, aina ya mada nazovutiwa kuchangia nk! Si utoto kabisa?
Kasemaje sasa? Weka nukuu ya alichosema basi..Ajasema Hata Kama nilikamatwa, umenukuu vibaya!