Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mtumishi hapaswi kula raha?Kuna ubaya mkubwa hasa kwa mtumishi kama wewe, unaonyesha mfano gani? Chunga kondoo wa bwana kwa uadilifu.
Ila huyu askofu anapenda sana drama!Kama baba askofu kasema warembo hawana ubaya we ni nani mpaka upinge.
Warembo hoyee.
Ila huyu askofu anapenda sana drama!
HahahaKama baba askofu kasema warembo hawana ubaya we ni nani mpaka upinge.
Warembo hoyee.
Kama baba askofu kasema warembo hawana ubaya we ni nani mpaka upinge.
Warembo hoyee.