Uchaguzi 2020 Gwajima Fursa hii hapa ya kupata kura nje nje ila usitoe rushwa ni Boko Basihaya

Ningekuwa mm ndiyo mshauri wa Halima ningemshauri mambo ya siasa ayaache tu maana aliaminiwa na wananchi wa Kawe kwa miaka 10 lakini hakuna alichokifanya.
Ulitaka afanye nini na boss wenu kazuia maendeleo kwa wasiompa kura??
 
Kwani huko hakuna sunday school?
Zile Porn video za Gwajima bado hawajaziona?
 
Mtetezi na kiongozi sahihi wa Kawe ni Gwajima peke yake kwa sababu ni anapenda haki, anapenda maendeleo pia ni mchapakazi
 
Hili kupata maendeleo yasiyo na konakona, kufanikisha kuwa na kauli moja jimboni na kuhakikisha mambo yanatiririka kwa uzuri zaidi basi ndugu Gwajima anafaa sana kwenye jimbo la Kawe. Kuna ujanja ujanja Halima anafanya lakini tutaweka wazi mpango mzima ndani ya muda mfupi
 
Tunakwenda na Gwajima mazima

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mtetezi na kiongozi sahihi wa Kawe ni Gwajima peke yake kwa sababu ni anapenda haki, anapenda maendeleo pia ni mchapakazi
👇
Hayo unayajua wewe, mimi nimeandika kile nilichoshuhudia toka kwa wananchi, so kama ni mtetezi na anapenda maendeleo basi aende eneo hilo siyo kumpa kiki zisizo muhusu.
☝️
Tunakwenda na Gwajima mazima
 
Gwajima ndiyo chaguo letu wana Kawe yule bibi atawezea wapi mziki wa Gwajima?
Ningekuwa mm ndiyo mshauri wa Halima ningemshauri mambo ya siasa ayaache tu maana aliaminiwa na wananchi wa Kawe kwa miaka 10 lakini hakuna alichokifanya.
Mtetezi wa Kawe amepatika cha muhimu ifikapo October 28 tumuonyeshe yule bibi kama tumemchoka kwa kumpa Gwajima kura nyingi na za kishindo.
tunahitaji maendeleo Halima kashindwa katika hili, kawe inazidiwa mpaka na buza wana barabara za lami mitaani na taa za barabarani sisi hatuna.
Uvccm mnafurahisha kweli, mmoja wenu anawahi kutoa post halafu anawaalika wenzake mje kumsapoti
 
Uvccm mnafurahisha kweli, mmoja wenu anawahi kutoa post halafu anawaalika wenzake mje kumsapoti
Dogo, laiti ungekuwa unanifaham usingethubutu kuniunganisha na vijakazi wako hao, pole sana.
 
shida iko hapa....
 

Attachments

  • 2537647_Gwajima.mp4
    300.9 KB
Hivi kweli kuna mbunge aliwahi kaa bungeni zaidi ya miaka 20? hata ufanye mazuri kiasi gani utachokwa tuu.
 
kumbe Halima alikalia kufanya harakati akasahau jimbo basi mlipeni ujira wake akajiajiri si ndo huwa wanashauri hivyo.
 
Kikwete mwenyewe alichemsha akabaki kuchimba mtaro dawasco kuelekea ununio.
KAWE TUNASTAHILI KUTUNZA HESHIMA YETU HESHIMA HALIMA MDEE ANATOSHA
 
Hayo yoote wananchi wenye matatizo hawayajui, mtu anapatwa na matatizo wewe unamletea hadithi, hatakuelewa.
Sisi kabla ya yote tunataka
Upendo
Amani
Mshikamano
Bila kujali
Dini
Kabila
Rangi
Jinsia wala
Itikadi
Hatutaki mtu anaetukana au anaetaka kutugawa akome tapeli gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…