Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama changamoto ndogo ndogo za kwako mwenyewe zimekushinda, unamlaumje mbunge?Suala sio kufanya nini kwenye familia. Sisi wananchi wakawe tumemuamini na akatuahidi atafanya mabadiliko shida inapotekea ni kwamba hata zile changamoto ndogo ndogo hajafanya
Kuna maswali mengine ya ajabu kabisa.Wewe umefanya nini kwenye familia yako? Halima mita no tena
Huenda wanawapenda, Kama waliweza kuchagua msagaji sihitaji kushangaa juu ya huyo anaekula kondoo.Hilo eneo wanapenda wagombea wanaotukana waislam na wakatoliki, au wachungaji wanaokula kondoo?
Alimsaga mama yako? Then unatuthibitishia?Huenda wanawapenda, Kama waliweza kuchagua msagaji sihitaji kushangaa juu ya huyo anaekula kondoo.
😂😂 Afadhali umekuwa mpole,naona wenge limeisha sasa.Una msongo wa mawazo, hatuna namna ya kukusaidia!
😂😂😂😂 sawa msagwaji-ma.Huna hoja msukule wa Gwajima, pimbi mkubwa!
Kijografia Kuanzia Namanga hadi Boko msikitini hili eneo liko chini sana, maji husumbua miaka nenda rudi.Kunapotokea jambo linalohitaji kiongozi kujitoa au kushirikiana na wananchi ni pale panapokuwa na ushirikishwaji wa aina yeyote ile.
Kwenye kipindi kama hiki wanasiasa wengi wanakuwa na hofu kujitoa kwa wananchi hasa upande wa kuchangia maendeleo katika eneo husika, mfano Halima mdee hajawahi kufika au kukaribia sehemu inayoitwa Boko Basihaya.
Boko Basihaya ipo jijini Dar Es Salaam njia ielekeayo Bagamoyo, wakazi wa eneo hili wanakumbwa na mafuriko yanayosababishwa na maji yanayotokea maeneo tofauti kama vilima vya wazo nk.
Taarifa za mapema wiki hii wananchi wa eneo hilo wanajichangisha ili kufanikisha uchimbaji wa njia ya maji (mtaro) utakaopeleka maji kwenye mto bunju na mengine kwenye karavati lililoidhinishwa kujengwa na Kikwete enzi akiwa rais.
Mgombea wa CCM ndg Gwajima wananchi hawajakuharika sababu inaweza kuwa ni rushwa au ushawishi ila jaribu kuwatembelea na kufanya mkutano eneo hilo usikie wananchi watakachokwambia.
Binti yangu Halima hapa hata usipoenda ni sawa maana wananchi wanadai wanakufaham japo ulikuwa mbunge wao ila hujawahi kukanyaga eneo hilo.
Mbunge ni mhamasishaji, hana fungu wala kasma kupeleka maendeleo eneo husika. Maendeleo ni kazi ya serikali. Halmashauri chini ya upinzani zilijitahidi kukusanya mapato na kuyatumia kwa miradi ya maendeleo. Kilichofuatia ni serikali kuu kuchukua vyanzo vya mapato hayo eg kodi za majengo na kuziacha halmashauri hoi kimapato. Kwa wapiga kura waelewa ni vema kuwapiga chini wagombea wote wa CCM kwani kazi waendayo kuifanya bungeni ya kusema 'ndiyoooo' imetosha.Tusidanganyike kama kakukuwa na maendeleo ni serikali iliyomadarakani ndiyo imeshinfwa kwani ndio wanaochukua kodi zetu!
Sauti ya Halima Mder inasikika bundeni! Hatutaki ndiyooooo!!! Hata wakati hapastahili! Wenye ndiyoooo ni wa rangi ya kijani! Hatuwataki hao!!
Wapumbavu wengi sana humu...halima mdee...all the way to the bank.Kunapotokea jambo linalohitaji kiongozi kujitoa au kushirikiana na wananchi ni pale panapokuwa na ushirikishwaji wa aina yeyote ile.
Kwenye kipindi kama hiki wanasiasa wengi wanakuwa na hofu kujitoa kwa wananchi hasa upande wa kuchangia maendeleo katika eneo husika, mfano Halima Mdee hajawahi kufika au kukaribia sehemu inayoitwa Boko Basihaya.
Boko Basihaya ipo jijini Dar Es Salaam njia ielekeayo Bagamoyo, wakazi wa eneo hili wanakumbwa na mafuriko yanayosababishwa na maji yanayotokea maeneo tofauti kama vilima vya wazo nk.
Taarifa za mapema wiki hii wananchi wa eneo hilo wanajichangisha ili kufanikisha uchimbaji wa njia ya maji (mtaro) utakaopeleka maji kwenye mto Bunju na mengine kwenye karavati lililoidhinishwa kujengwa na Kikwete enzi akiwa Rais.
Mgombea wa CCM ndg Gwajima wananchi hawajakuharika sababu inaweza kuwa ni rushwa au ushawishi ila jaribu kuwatembelea na kufanya mkutano eneo hilo usikie wananchi watakachokwambia.
Binti yangu Halima hapa hata usipoenda ni sawa maana wananchi wanadai wanakufaham japo ulikuwa mbunge wao ila hujawahi kukanyaga eneo hilo.
Kama ni mkaazi wa eneo hilo basi hujui lolote, pia kuzaliwa au kukulia hapo haikupi ujuaji kitaalamu.Niko basihaya miaka yote ulichoandika ni fitna na mhemko wa kishabiki. Historia ya mafuriko Basi haya naifahamu A to Z. Suluhisho halihitaji mbunge kuchangia hela bali mpango mahususi ukihusha pia Tanroad
Kikwete alitoa agizo manispaa wakajaribu kutengeneza mtaro Halima akiwa mbuge bt bado ni tatizo.
Basi haya kijiografia ni kama bonde na barabara ya Bagamoyo kiasili ni kama outlet ya maji kuelekea baharini kwa stages kama ifuatavyo.
Kwanza maji yalijikusanya kama bwawa nyuma magereji karibu na kituo cha mafuta msikitini.
Pili yakijaa hapo yalitiririk uelekeo wa barabara kupita Fyatanga then Dawasco na mbele kidogo yalijazana kwenye bwawa tena.
Tatu kama mvua ni nyingi maji yaliendelea na safari kwa mtindo huo hadi baadae kuelekea baharini kutoka Tegeta.
Tatizo lilianza barabara ya Bagamoyo ilipoinuliwa sana maji yakakosa njia watu pia wamejenga na kuziba hata yale mabwawa yaliyokuwa yakipinguza kasi ya maji. Pia nyumba ni nyingi na maji hayawezi kunyonywa ardhini yote haraka.
Ni vigumu kutengeneza mfereji maji yaende baharini kupitia Ununio.
Pia maji hawezi kueleka mto uliopo Dovya sababu eneo la kwa Komando limeinuka sana.
Suluhisho ni kwamba ni lazima uwepo mpango wa kibajeti ukihusisha watu barabara, mipango miji na ardhi kutafuta ufumbuzi wa kudimu.
Kuchangisha vihela vidogo vidogo ni kupoteza muda.
Watu wa basihaya wamekuwa wakisukumiziana maji kwa kujenga vijiukuta na kujaza vifusi kuzunguka maeneo yao na hii inageuka ugomvi.
Kwa mtoa Mada usimlaumu Halima Mdee kwa jambo hili bora ungehoji watu wa ardhi, mipango miji na barabara bc wanajua jiografia ya eneo hili.