Uchaguzi 2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

Uchaguzi 2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

beco

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,339
Reaction score
783
Nipo very disapointed na uteuzi wa CCM, Kawe, CCM imempeleka mtu asiejiheshimu yeye binafsi, asiyeheshimu wengine, asiyeheshimu viongozi wa juu wa kidini na wala asieheshimu dini za wengine.

Gwajima amekuwa kiongozi mwenye mdomo anaeongea chochote kwa yeyote bila kupima.

Gwajima huyu ndie alietoa clip ya matusi kwa Askofu Pengo hivi unaanzaje kumtukana Pengo mtu mwenye kuheshimika na dini zote, eti ishia mzee, nenda zako mzee, umekula maharage ya watu umekuwa km mtt mdogo unaevishwa pampers leo hii unajifanya mwema, Gwajima haufai.

Huyu Gwajima aliwaita waislamu mashetani sasa huyu hawezi kuwa kiongozi kuwa kiongozi.

Hana sifa huyu.
 
Yule mwambie a-focus kwenye miguno, siasa zinahitaji sera na hoja kutoka kwa mtu aliyejijengea uaminifu kwa mabosi wake (wapiga kura)

Kaisha zingua, kanisani aliahidi kuzindua treni wiki kesho siku aliyokua akihubiri mbele ya waumini na hakutekeleza, alikiri mbele ya waumini kua siasa kwake haina msaada wowte na hawezi kuhangaika na ubunge maana ana pesa nyingi kuliko malipo anayolipwa Mbunge.

Kwa kuwadharau kabisa akaamua afanye uasherati kwa kujirekodi, yani bora hata angerekodiwa pobably tungeweza ku-assume kua he has been tricked lakini tunamuona yeye ndiye ana set kamera, halafu anatuletea utetezi wa kidwanzi eti ni mkono wa baunsa. Kama kajikataa kua sio yeye kwenye ile clip huyu si atawakataa hadi wananchi wake akiwa bungeni?
 
NAONA NGUVU NYINGI INATUMIKA KUPAMBANA NA GWAJIMA,ILA CCM WAKIAMUA LAO HUWA WAMEAMUA
MFANO MZURI NI JIMBO LA TARIME 2010 KIKWETE ALIAPA LITARUDI CCM KWA HERI AMA SHARI NA LIKARUDI KWELI
 
Ndo ataechukua jimbo, mana hakuna jipya alilofanya mdee zaid ya kelele tu na kuongea sana akilinda ajira yake
 
Kabisa Halima hajatufanyia chochote kazi kutupigia kelele tu bira tuone upepo mwingine
 
Nipo very disapointed na uteuzi wa CCM, Kawe, CCM imempeleka mtu asiejiheshimu yeye binafsi, asiyeheshimu wengine, asiyeheshimu viongozi wa juu wa kidini na wala asieheshimu dini za wengine...
Kwakweli hafai na kuna ile video ya X alijirekodi inadhirisha jinsi alivyo na rekodi chafu mbele ya jamii. Kawe wana jambo lao tarehe 28/10/2020.
 
Nipo very disapointed na uteuzi wa CCM, Kawe, CCM imempeleka mtu asiejiheshimu yeye binafsi, asiyeheshimu wengine, asiyeheshimu viongozi wa juu wa kidini na wala asieheshimu dini za wengine.

Gwajima amekuwa kiongozi mwenye mdomo anaeongea chochote kwa yeyote bila kupima.

Gwajima huyu ndie alietoa clip ya matusi kwa Askofu Pengo hivi unaanzaje kumtukana Pengo mtu mwenye kuheshimika na dini zote, eti ishia mzee, nenda zako mzee, umekula maharage ya watu umekuwa km mtt mdogo unaevishwa pampers leo hii unajifanya mwema, Gwajima haufai.

Huyu Gwajima aliwaita waislamu mashetani sasa huyu hawezi kuwa kiongozi kuwa kiongozi.

Hana sifa huyu.
Gwajima kwanza anatakiwa ashitakiwe kwa uhujumu uchumi
 
Kawe mkimpa Gwajima ubunge mtakuwa mmetukana Taifa.
 
Hivi kuna watu wanamaneno machufu na mdomo mchafu kama Chadema hawamuheshimu hata Rais wao ni wazi kabsa Mtu akishakuwa Rais lazima Heshima Iwepo lakin nyie Chadema mnadharau hata utendaji kazi wake

Alafu mnajiona Wema na watakatifu na wakwel kumbe hamna maana kabsa watu ambao n hatari sana kwa nchi yetu ni Chadema kwanzia ngazi zote toka Rais had madiwani na mwaka huu mnakwenda kupotea Daima
 
Sasa akili Zako si zakipumbavu
Yaan kwa akili yako ya kifara unazani usipompenda Gwajima kuna hasara ??

Kafie mbele
 
Unadhani haya maneno yako ya upuuzi yatatufanya tuache kumchagua Gwajima, yaani unatushawishi sisi wadau kuwa tumchague Halima ambaye hajafanya maendeleo yoyote.
 
Kwa mantiki hyo unataka kusema ww ndo unafaa kma tuu hukuwai kuwa hta kiongozi wa chekechea usimuonee mwenzako wivu anafaa ndo maana kateulwa so move Your stupidity here
 
Back
Top Bottom