Uchaguzi 2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

Uchaguzi 2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

Gwajima kwanza anatakiwa ashitakiwe kwa uhujumu uchumi
Uchumi upi aliokuhujumu?. Mwenyekiti wenu Mbowe ashtakiwe kwa kula vitu maalum, michango ya wabunge pamoja na ruzuku nadhani itakuwa vizuri zaidi.
 
Kawe kwa Gwajima. Halima akaolewe sasa, naona anazeeka tu yule bibi.
 
Mkuu ulitaka Mdee afanye nini ambacho hajafanya? Be honest

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app


Ameshindwa hata kufanya regular visiting kwa wananchi ili kujua changamoto na matatizo yanayowakabili,

Ameshindwa kuwatembelea wananchi na kuwapa mrejesho wa mambo kadha wa kadha toka Halmashauri ya Manispaa, mipango inayotarajiwa n.k

Ukakasi ktk kushirikiana na serikali ktk kuondoa kero na kuleta maendeleo jimboni.

Kwaheri ya kuonana Halima jimboni Kawe.

Itabaki Historia tu!
 
Back
Top Bottom