Uchaguzi 2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

Kwanza alisema yeye ni Kichaa so can see contradictions kibao kwako
Yan kusema ule ukweli Mungu anajua kabsa malengo ya chadema sio mazuri hvyo kamwe hawezi kuruhusu mshinde na hatamshinda ila njaa tu mnaweza shinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
uchaguzi huwu atakufa beki au kipa
 
uchaguzi huwu atakufa beki au kipa
Mtakufa nyie hivi kipi kinawapa kiburi Chadema kuwa mtashinda huyo lisu hajakuta hata nusu ya Lowasa alafu eti mnamwita rais hamna hata aibu yule kisasi chake akilipe labda akiwa kuzimu na Lucifer ila sio akiwa Rais hawezi Ngoooooo kamwee
 
Acha kujitoa ufahamu Wana Kawe tunamhitaji kuliko Mdee
 
Nenda kampigie Robert
Amsterdam utakuwa umefanya sahihi kabisa
 
Mtakufa nyie hivi kipi kinawapa kiburi Chadema kuwa mtashinda huyo lisu hajakuta hata nusu ya Lowasa alafu eti mnamwita rais hamna hata aibu yule kisasi chake akilipe labda akiwa kuzimu na Lucifer ila sio akiwa Rais hawezi Ngoooooo kamwee
media houses zote ,Malory,Wasanii wote nchini kutoa burudani bure,waganga wote wa jadi nchini munawatumia yeye one man sera tuu lakani watu wanafurika kumsikiliza hata wewe na roho yako nishahidi.
 
Mkuu umeelewa kinachoongelewa lakini? Kuwa Mataga siyo justification ya kuwa mjinga, kumbuka hilo

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Gwajima anaongea na kila ambacho sio sahihi lazima aseme na hvyo ndyo kiongozi anatakiwa awee so maneno yako ya uchochezi hayawezk kutuzuia sisi tusimchague Gwajima hata mseme nin Gwajima pekee ndiye anayefaaa kuwa mbunge wa kawe
Mkuu huyo Gwajiboy aliwahi sema nini na akawa sahihi?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Zamani CCM ilikuwa inawapika watu wake wanaiva. Siku hizi hii CCM mpya ni okota okota.
 
Kama wajumbe walimkataa akachukuliwa mtoto wa dada ambaye hajui hata kuomba kura achilia mbali kujulikana, acha tujikoshe kwa gwajima ili kale kaharufu ka kupendelea wapwa kafifie kidogo...
 
Gwajima hafai kabisa inasikitisha magu anampendekeza mtu kama huyu mchafu kabisa.
 
Mtaji Wa CCM ni UJinga wa Wa Tanzania.
 
MZEE WA UNOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…