n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,349 Reaction score 7,000 Oct 12, 2020 #61 Babati said: Gwajima kwanza anatakiwa ashitakiwe kwa uhujumu uchumi Click to expand... Uchumi upi aliokuhujumu?. Mwenyekiti wenu Mbowe ashtakiwe kwa kula vitu maalum, michango ya wabunge pamoja na ruzuku nadhani itakuwa vizuri zaidi.
Babati said: Gwajima kwanza anatakiwa ashitakiwe kwa uhujumu uchumi Click to expand... Uchumi upi aliokuhujumu?. Mwenyekiti wenu Mbowe ashtakiwe kwa kula vitu maalum, michango ya wabunge pamoja na ruzuku nadhani itakuwa vizuri zaidi.
n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,349 Reaction score 7,000 Oct 12, 2020 #62 Kawe kwa Gwajima. Halima akaolewe sasa, naona anazeeka tu yule bibi.
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Oct 12, 2020 #63 Allency said: Mkuu ulitaka Mdee afanye nini ambacho hajafanya? Be honest Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ameshindwa hata kufanya regular visiting kwa wananchi ili kujua changamoto na matatizo yanayowakabili, Ameshindwa kuwatembelea wananchi na kuwapa mrejesho wa mambo kadha wa kadha toka Halmashauri ya Manispaa, mipango inayotarajiwa n.k Ukakasi ktk kushirikiana na serikali ktk kuondoa kero na kuleta maendeleo jimboni. Kwaheri ya kuonana Halima jimboni Kawe. Itabaki Historia tu!
Allency said: Mkuu ulitaka Mdee afanye nini ambacho hajafanya? Be honest Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ameshindwa hata kufanya regular visiting kwa wananchi ili kujua changamoto na matatizo yanayowakabili, Ameshindwa kuwatembelea wananchi na kuwapa mrejesho wa mambo kadha wa kadha toka Halmashauri ya Manispaa, mipango inayotarajiwa n.k Ukakasi ktk kushirikiana na serikali ktk kuondoa kero na kuleta maendeleo jimboni. Kwaheri ya kuonana Halima jimboni Kawe. Itabaki Historia tu!