mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa haraka ukiangalia ile picha inayosambazwa utadhani ni Gwajima, lakini kumbukeni watu huwa wanafanana. Gwajima hana shingo pana kama ile, pua kubwa kama ile, kidevu kipana na hata macho yake siyo makubwa kama yale... MUDA UTASEMA.
Hahahaha yaani hamna shida na video yake shida ni style moko halafu yule demu kalala kama gogo tuAskofu kapiga Style moja tuu....
Ndio malalamiko yetu...
Hahahaha mechi ngumu sana
Hamna cha feki, nyie wafuasi wake ndio mjipange namna ya kula sadaka za waumini innocentVideo ya kumchafua Askofu Gwajima inayosambaa mitandaoni imeshafahamika ni fake.
Watesi wake jipangeni upya.
Video ya kumchafua Askofu Gwajima inayosambaa mitandaoni imeshafahamika ni fake.
Watesi wake jipangeni upya.
Oanisha paji la uso wa picha ya juu na chini utaona tofauti kwa picha ya juu paji la uso limepanda juu na refu tofauti na picha ya chini paji la uso ni mviringo.Before make up & After Make up / Kwenye Ulimwengu wa Giza & Kwenye ulimwengu wa MwangaView attachment 1090845