Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua madhara ya front camera wewe?Kwa haraka ukiangalia ile picha inayosambazwa utadhani ni Gwajima, lakini kumbukeni watu huwa wanafanana. Gwajima hana shingo pana kama ile, pua kubwa kama ile, kidevu kipana na hata macho yake siyo makubwa kama yale... MUDA UTASEMA.