Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Gwajima kasema Press ijayo ya pili, akiita, atasema vitu mpaka MTU atanuka.
Wakuu hivinajua Gwajima Licha ya kua Jasusi la Mbinguni, Ujasusi' wake anaufanyia pia hapa hapa Duniani.
Gwajima anaorodha ya watekaji wote na Kiongozi wao.
Tunakushukuru Kenge. Wekeni na video yake republic of kenge wajioneeGwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye amemg'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji.
Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani?
Kamwambia atulize mshono la sivyo atambaragaza😂😂
Mahubiri ya leo ni moto, mimi Kenge nimebarikiwa sana.
We kenge, huyo ponjoro ni Abbas Tarimba mchezesha kamali wa sportpesa.Hii Ponjoro ni nani?
Drug dealerPonjoro anachezesha kamari ambayo hata Allah hapendi 😂😂
Hata kama anatumwa na wazalendo,wanajua kuwa huyo jamaa ana ubavu wa kusema bila hofu yoyote,ni wangapi wanaweza kuwa na ujasiri wa kusema aliyoyasema Gwajima?Hata wanaomjibu jibu inabidi wakae wajihoji kama yupo peke yake au yeye ni 'spika' tu.wanajua
Pengine kuna watu wazalendo wanachukizwa na haya mambo na wanawajua watekaji na boss wao ila hawana kauli dhidi ya boss wao, rejea ushauri Gwajima juu ya utenguzi wa wakuu wa vyombo.
Akiumia mtaishia kumpa pole tuWakati anaita press ya kwanza Gwajima alikua amejiandaa, na ninaamini kuna mengi anayajua yenye ushaidi ndio maana anajiamini na anaendelea kujibizana hata na mkuu wake wa chama