PreGE2025 Gwajima kasema Ponjoro wa Kinondoni atulize mashono, akimgeukia atasanda

PreGE2025 Gwajima kasema Ponjoro wa Kinondoni atulize mashono, akimgeukia atasanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye amemg'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji.

Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani?

Kamwambia atulize mshono la sivyo atambaragaza😂😂

Mahubiri ya leo ni moto, mimi Kenge nimebarikiwa sana.

Ponjoro anaumizwa na mtoto wa mmoja tu kati ya waliotajwa ..... Sasa ameongezea na wa Kikwete na Mwinyi.
 
Back
Top Bottom