PreGE2025 Gwajima kasema Ponjoro wa Kinondoni atulize mashono, akimgeukia atasanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye amemg'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji.

Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani?

Kamwambia atulize mshono la sivyo atambaragaza😂😂

Mahubiri ya leo ni moto, mimi Kenge nimebarikiwa sana.
Gwajiboy Kwa kuchamba ni noma,Gwajigirl alisanda mwenyewe 😀😀
 
Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye amemg'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji.

Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani?

Kamwambia atulize mshono la sivyo atambaragaza😂😂

Mahubiri ya leo ni moto, mimi Kenge nimebarikiwa sana.
Eti ponjoro 😆😆🙌🙌
 
View attachment 3352782
Haahaa ponjoro wa kinondoni....🤣🤣🤣
 
Ponjoro mkamaria inafaa ajue wachezesha kamari wengi hulaaniwa kwa kuharibu familia za watu kuwafanya watu kuwa addicted navitu Mungu hapendi.
Kumiliki kampuni ya kamari nikama kumiliki danguro.
Haahaa ponjoro mcheza kamari....
 
Ponjoro atulize ball, ana mengi sana nayeye anajijua vizuri na mambo yake yalivyokaa kushoto. Ana hamu ya kuvuliwa nguo hadharani. Huo ubunge kautaka kwa kinga tu.
Wabunge wengi wa aina ya huyo ponjoro watokea kwenye mfumo wa Kleptokrasia na wamo bungeni kuulinda mfumo huo.
 
Po
Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye amemg'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji.

Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani?

Kamwambia atulize mshono la sivyo atambaragaza😂😂

Mahubiri ya leo ni moto, mimi Kenge nimebarikiwa sana.
View attachment 3352782
ponjoro ni neno lililokaribu na neno shombeshombe
 
Ponjoro atulize ball, ana mengi sana nayeye anajijua vizuri na mambo yake yalivyokaa kushoto. Ana hamu ya kuvuliwa nguo hadharani. Huo ubunge kautaka kwa kinga tu.
Dada Bantu Gwajima alishawaambia waje na hoja,Ponjolo alikurupuka kapewa jab akiendelea kujipendeza atapewa uppercut.
 
Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye amemg'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji.

Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani?

Kamwambia atulize mshono la sivyo atambaragaza😂😂

Mahubiri ya leo ni moto, mimi Kenge nimebarikiwa sana.
View attachment 3352782
Gwajima kama umeamua kujitolea kumfunga paka kengere, usitafute Sympathy ya Kondoo zako.
 
Gwajima hayuko peke.
Hawezi kujiamini vile kama hana backing ya watu wa kanda yote ya ziwa.
 
1980s Ponjoro ilikuwa kama ubaguzi hivi au Wamanga koko

Hao ni maburushi 🐼
Sasa hapa kabila ya mtu au rangi yake inaingiaje? Tena kwanini kutumia neno la kukejeli jamii ya Kitanzania badala ya kumsema mtu mmoja tu aliyehusika? Leo ukabila, kesho udini keshokutwa ujimbo na kadhalika
 
Back
Top Bottom