PreGE2025 Gwajima kasema Ponjoro wa Kinondoni atulize mashono, akimgeukia atasanda

PreGE2025 Gwajima kasema Ponjoro wa Kinondoni atulize mashono, akimgeukia atasanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
P

Ponjoro ndo nani baby, njoo inbox
Abbas Tarimba, mbunge wa kinondoni
images (15).jpeg
 
Hata kama anatumwa na wazalendo,wanajua kuwa huyo jamaa ana ubavu wa kusema bila hofu yoyote,ni wangapi wanaweza kuwa na ujasiri wa kusema aliyoyasema Gwajima?
Mkuu, hiyo ndiyo inaitwaga one in a million.

Jamaa anastahili kongele.

The best thing, hekima anayotumia kuwasilisha ukweli huo mchungu ni ya kiwango cha juu sana.
 
Akiumia mtaishia kumpa pole tu
Niko hapa kukuambia hagusiki. Nimekaa pale. Shuhulikeni na shida za watanzania na sio kuwaua na kuwanyamazisha wasiongee ukweli wa wanayoyaona. Anyway ngoja tutaona sauti ya Mungu (watanzania wapenda haki) na sauti ya shetani , ipi itashinda.
 
Back
Top Bottom