The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Josephat Gwajima, askofu kidhabu wa kujipachika aliwahi kusema kuwa kazi yake ilikuwa bora na kubwa zaidi ya urais. Alipopewa ubunge alisahau yote.
Alisahau kuwa maneno yanaumba. Sasa ameumbuliwa. Nadhani sasa ameamini kuwa Mungu si wa kudhihakiwa. Gwajima kafanya utapeli mwingi.
Mara ajipachike uaskofu. Anaongeza hata udaktari mwe!!! Katoa vitisho kila aina. Mara ajipige mtama aseme hawakumuelewa wakati walimwelewa wakafanya kweli tokana na wanavyomwelewa hata kabla hawajampa ulaji Kawe. Ame kweli mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya Idi.
Amekumbuka kuwa ukiwa katika kundi la manabii wa uongo, uongo wako unadhihirishwa hapa hapa duniani. Yuko wapi mbona hasikiki tena?
Nawaza kimya kimya baba yenu.