The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Woooi. Hii kali mwananguKama ni utapeli Mungu anaedai ana upendo na mwenye kusamehe ndie tapeli namba moja
Anunue wapi wakati anatafuta mtu wa kumnunua ili watumiane?Write your reply...tren ya umeme kanunua?
we mjuba acha utani kwa MunguKama ni utapeli Mungu anaedai ana upendo na mwenye kusamehe ndie tapeli namba moja
Utani upi hapo? Halafu mimi sio mjubawe mjuba acha utani kwa Mungu
unadhani ni ile juba ya sudan kusini na jubaland somalia?Utani upi hapo? Halafu mimi sio mjuba
Sijadhani ila mimi sio mjubaunadhani ni ile juba ya sudan kusini na jubaland somalia?
mjuba najua we ni mtanzania, hapo napo vipi?Sijadhani ila mimi sio mjuba
Kwa taarifa yako alifariki ni mstaafu huku Italy hata Novena hakuifanya.Nikukumbushe tuKuna wafulani wakafanya novena kumkoamoa fulani lakini Mungu alivyofundi anawangoa wao sijui mnanielewa
What, who, when and how? I am a tough cookieutakugwajima