The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
- Thread starter
-
- #21
Sijui hata kama Gwajima ilipo marekani
Ila ni tapeli wa kawaidaUnamchukulia gwajima poa? Yule mjuba si wa kawaida aisee
Ambush kwa vitendo ama hizi za kuona kwenye moves za kihindi kikorea na kijapan?Art of war.
Shambulia penye udhaifu.
Loosing small battles si kushindwa vita.
Unapo fanya ambush achilia upenyo kidogo adui akajipange.
Tofautisha novena ya kuombea haki na amani naa hizo albadir zenuKuna wafulani wakafanya novena kumkoamoa fulani lakini Mungu alivyofundi anawangoa wao sijui mnanielewa
ni mtumishi wa MunguIla ni tapeli wa kawaida
Hapana. Ni mtumishi wa muuungu siyo Munguni mtumishi wa Mungu
angalia usichume dhambi mjubaHapana. Ni mtumishi wa muuungu siyo Mungu
Mjuba mwenyewe. Nichume dhambi kwa kusema ukweli kuwa Gwajima ni tapeli wa kawaida au wewe ndo yeye au kakutuma kama siyo kujituma au kukubali kutumiwa?angalia usichume dhambi mjuba
No way Apambane kivingine