Gwajima kawekwa kizuizini au katekwa?

Gwajima kawekwa kizuizini au katekwa?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.

Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?

Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?

Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii

Mwenye majibu kama yupo.
 
Gwajima yuko wapi ?
Kama ametoroka yuko mahali ambapo siyo secure kwa hiyo hawezi kuongea.
 
Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.

Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?

Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?

Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii

Mwenye majibu kama yupo.
Hayupo kizuizin, yupo sehem alio iandaa mwenyewe. Anasubiri the dust to settle

Atatokea but it will be on his terms
 
Tukitengeneza first eleven hapa nani angecheza namba gani kwa wakati huu
  1. Rev. Christopher Mtikila (RIP)
  2. Sheikh Ponda
  3. Tundu Lissu
  4. Sheikh Mazinge
  5. Godbless Lema
  6. John Heche
  7. Bishop Josephat Gwajima
  8. Bishop Bagonza Kalikawe
  9. Bishop Mwamakula
  10. Sheikh Maalim Seif
  11. James Mbatia
  12. Augustine Lyatonga (RIP)
  13. Adv. Mwabukusi
 
Tukitengeneza first eleven hapa nani angecheza namba gani kwa wakati huu
  1. Rev. Christopher Mtikila (RIP)
  2. Sheikh Ponda
  3. Tundu Lissu
  4. Sheikh Mazinge
  5. Godbless Lema
  6. John Heche
  7. Bishop Josephat Gwajima
  8. Bishop Bagonza Kalikawe
  9. Bishop Mwamakula
  10. Sheikh Maalim Seif
  11. James Mbatia
  12. Augustine Lyatonga (RIP)
  13. Adv. Mwabukusi
 
Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.

Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?

Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?

Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii

Mwenye majibu kama yupo.
Andiko lako lina mantiki chief!
 
Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.

Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?

Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?

Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii

Mwenye majibu kama yupo.
😷ngoja kwanza nihamie kanisa la ufufuo maana kule wenzetu Wana mwanasheria wao kibatala
 
Back
Top Bottom