Gwajima kawekwa kizuizini au katekwa?

Gwajima kawekwa kizuizini au katekwa?

Tukitengeneza first eleven hapa nani angecheza namba gani kwa wakati huu
  1. Rev. Christopher Mtikila (RIP)
  2. Sheikh Ponda
  3. Tundu Lissu
  4. Sheikh Mazinge
  5. Godbless Lema
  6. John Heche
  7. Bishop Josephat Gwajima
  8. Bishop Bagonza Kalikawe
  9. Bishop Mwamakula
  10. Sheikh Maalim Seif
  11. James Mbatia
  12. Augustine Lyatonga (RIP)
  13. Adv. Mwabukusi

Hiko kikosi mbona kina mamluki
 
Tusubiri mpaka tusikie sauti yake. Nafikiri atabadilisha jina kuwa wingi, yaani "Magwagima ".
 
Someni KITABU CHA Wafalme wa 1 na Wafalme wa 2.

Haya mambo SI mageni.

Kila jambo na wakati wake.
 
Tukitengeneza first eleven hapa nani angecheza namba gani kwa wakati huu
  1. Rev. Christopher Mtikila (RIP)
  2. Sheikh Ponda
  3. Tundu Lissu
  4. Sheikh Mazinge
  5. Godbless Lema
  6. John Heche
  7. Bishop Josephat Gwajima
  8. Bishop Bagonza Kalikawe
  9. Bishop Mwamakula
  10. Sheikh Maalim Seif
  11. James Mbatia
  12. Augustine Lyatonga (RIP)
  13. Adv. Mwabukusi
Kila masika na mbu wake, hawafanani
 
Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.

Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?

Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?

Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii

Mwenye majibu kama yupo.
yule kupotezwa kindezi ni shughuli pevu, akipotea inajulikana nani kampoteza na atatoa hesabu ghali
 
Back
Top Bottom