Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
No Reforms No ElectionHili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.
Mwenye majibu kama yupo.
Kaongea lini na wapi?Mwanasheria wake kasema yupo sehemu salama, lakini Gwajima sio mtu wa kutekwa Kwa style ile
Kapost humu janaKaongea lini na wapi?
Hayupo kizuizin, yupo sehem alio iandaa mwenyewe. Anasubiri the dust to settleHili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.
Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?
Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?
Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii
Mwenye majibu kama yupo.
Yezebeli ajipange Kwa kweliYupo kwenye maombi, atakapotokea hadharani yezebeli atakuwa ameshaelekea kuzimu.
Na dini za kishetani zinazobariki utekaji na mauaji.Kwa Sasa Tanzania kuna magenge ya uhalifu
Andiko lako lina mantiki chief!Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.
Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?
Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?
Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii
Mwenye majibu kama yupo.
😷ngoja kwanza nihamie kanisa la ufufuo maana kule wenzetu Wana mwanasheria wao kibatalaHili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.
Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?
Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?
Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii
Mwenye majibu kama yupo.