G
Watamfanya nnAliyemficha akijulikana sijui itakuwaje!
Hivi unafuatilia kweli Habari?Kaongea lini na wapi?
Tukitengeneza first eleven hapa nani angecheza namba gani kwa wakati huu
- Rev. Christopher Mtikila (RIP)
- Sheikh Ponda
- Tundu Lissu
- Sheikh Mazinge
- Godbless Lema
- John Heche
- Bishop Josephat Gwajima
- Bishop Bagonza Kalikawe
- Bishop Mwamakula
- Sheikh Maalim Seif
- James Mbatia
- Augustine Lyatonga (RIP)
- Adv. Mwabukusi
Leo Askofu katuma helicopter kumchukuwa mwanae likizo Bukoba kwenda Dar.Kwa Sasa Tanzania kuna magenge ya uhalifu
Kila masika na mbu wake, hawafananiTukitengeneza first eleven hapa nani angecheza namba gani kwa wakati huu
- Rev. Christopher Mtikila (RIP)
- Sheikh Ponda
- Tundu Lissu
- Sheikh Mazinge
- Godbless Lema
- John Heche
- Bishop Josephat Gwajima
- Bishop Bagonza Kalikawe
- Bishop Mwamakula
- Sheikh Maalim Seif
- James Mbatia
- Augustine Lyatonga (RIP)
- Adv. Mwabukusi
yule kupotezwa kindezi ni shughuli pevu, akipotea inajulikana nani kampoteza na atatoa hesabu ghaliHili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.
Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?
Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?
Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii
Mwenye majibu kama yupo.