Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

NIKIWA KAMA MPIGA KINANDA PALE KANISANI..HAPA NIPO KWENYE ZOEZI LA KUTENGENEZA ALA (instrumental) MURUA NITAKAYOITWANGA KWA AJILI YA KUSINDIKIZA STORI WAKATI "WAZEE HAO" WANAMWAGA UBUYU...
 
Dr.Josephat Gwajima unawapanini waumini wako umewashika kotekote (Pande zote) wakibinuka unao! Ama kweli dini ni kitu cha Ajabu sana tena sana.

"Mpende Adui yako(Wapendeni Adui zenu)"
 
0956802090

Bashite tisa tano sita nane bashite mbili bashite tisa bashite

Namba yangu hiyo mnipigie nikapokee wageni wakija toka koromije
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Tulia msubiri iwaingie sawa sawa, si mlimchokoza? Atawanyoosha tu.
 
Akiletewa kiapo cha Mahakamani atajisikiaje huyo Mchungaji... Mwenzie anamfanyia Tyming tu
 
Mkuu huyu gwajima wamemchafua sana jamani khaa mambo ya kupakazia watu wanauza ngada kumbe uongo hii ndio athari yenyewe.... Sasa haya mambo tuyaache tuuuu
Mbaya zaidi wameenda kumpima kabisa.
Acha na yeye awapitishe kwenye vipimo.
 
NIKIWA KAMA MPIGA KINANDA PALE KANISANI..HAPA NIPO KWENYE ZOEZI LA KUTENGENEZA ALA (instrumental) MURUA NITAKAYOITWANGA KWA AJILI YA KUSINDIKIZA STORI WAKATI "WAZEE HAO" WANAMWAGA UBUYU...
soon mtaanza ku charge kiingilio mana ishakuwa movie theatre
 
0956802090

Bashite tisa tano sita nane bashite mbili bashite tisa bashite

Namba yangu hiyo mnipigie nikapokee wageni wakija toka koromije
Mpende Adui kwa kutetea dhambi??
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Umbeya hunenwa chooni au kibaraza cha uswahilini hadi makalio yanakuwa ya baridi. The Bishop talks openly. Tofautisha weye! [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Gwajima humtendei haki ukimfananisha na Manji
kwa sababu yeye yuko tayari hata kufa, watu kama hao hawana cha kupoteza.
 
Mambo ya kisasi ni haki yangu,kweli bora angewashambulia wachungaji wapole wapole,ila sampuli ya Gwajima
 
Maana ndio hiyo anatembea maili zaidi ya mbili coz wageni kutoka kalomjee sio Michele. Karibuni saana wageni
 
Mwacheni gwajima aongee na familiya yake. Gwajima alipelekwa police kwa mbembwe zote akatangazwa kwenye tv hiyo hamkumbuki?

Baba tuletee wageni niweke kitengo cha ukaribishaji nimebobea kwenye hiyo sector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…