Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
kuu mbona ali declare kuwa anaongea na familia yake au...?

hata wewe jambo kama lilimkuta huyo Mchungaji, ungeiita familia yako na kuiambia kulikon mpka...
 
Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!

Sasa tumechoka!
Action and reaction are equal but in opposite direction
 
His behavior has been very unseemly.

A man of the cloth comporting himself like a drama queen.

Shame shame shame.
Mkuu mtetee na Manji maana naye ni victim wa Makonda. Kwanini sasa hivi watu wanalilia clemency kwa Makonda ili hali wPo ambao bado wanateseka kwa matendo ya Makonda. Weka cheti hadharani baba makonda
 
Ukisema kila unachoshutumiwa ujitokeze ukikanushe utakuwa lofa. Wakikwambia wewe ni shoga, kapimwe rinda utuletee picha x-ray tuthibitishe, utaenda? Mambo mengine ukiwa kiongozi unapiga kimya tu, ndio dawa.
 
Kaufyata mafuta aliyomwaga mashimoni yalikuwa yamechakachuliwa,mwisho wa ubaya aibu.
 
Alieandika philemoni akimaanisha Freeman mnapoteza muda wenu bure majibu yapo wazi tuu ila kazi anayo kwa kweli kosa alifanya ni la Mzee Kabwe haya mengine yanajitokeza ili kumuumbua karma ipo Duniani nikivuta kumbukumbu Mzee Kabwe alivyopokea ile simu ya Mwandishi wa habari nilimwonea Iman sana.
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Umbea upi mbaya kama wa kuleta discover kumi toka Dodoma kumpeleka mtu usiku kwa maswali ya kusikia na hayana hata msingi? Kiasi gani kinatumika kulipa DA kwa wale wanaoenda mjengoni kungojea watu na kuwapeleka kusikiliza umbea ambao unazaa kulindwa na watu kupata posho. Heri yao wanaopanda third class train kuja kutoa ushuhuda bila shuruti.
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
tulieni iwaingie........
 
Hahaha ndio kwan asiweke kwan atakufaaa???hill hata mm linanitia shakaaa
 
rosemarie, hayajakufika! mtu akijitokeza hadharani akasema (samahani, najaribu kukupa mfano kuwa kuna vitu vinakera) kuwa umezaa na baba yako, au unafanya biashara ya sodomy anayetaka aje kwako- utamsamehe kuwa ngoja yapite, Yesu alisamehe? (Narudia samahani natoa mfano tu kuonyesha uhalisia). Atakuwa amekuharibia usichana wako na inawezekana usiolewe tena maishani....Kuambiwa kuwa unavuta unga, ni kuwa mtu amekumaliza! Kuna watakao baki na wasiwasi kuwa ni kweli serikali iliamua kufunika kombe mwanaharamu apite.. kuna watakaobaki na kuamini kuwa Gwajima ni mvuta cocaine, bangi and the like! na mfanya biashara ndio utajiri alio nao!...... (narudia samahani tena, ni mfano tu)
Gwajima kama mtumishi wa mungu nampongeza kwa hili lazma aweke Mambo sawaaa maana alishahalibiwa jina alilolijenga kwa miaka mingi
 
Kwalezma yooote mchunga kondoo unaendekeza unafiki sasa utatubu dhambi au kuongeza dhambi uyu mchungaji achunguxwe sio bure
 
Gwajima kama angeamua kukaa kimya katika hili basi angepata thawabu kubwa kwa Mungu, yeye kama mtumishi wa Mungu hapaswi kufanya hizi show off
Gwajima na Makonda ni watu tofauti kabisa kiroho, hakuna sababu ya Gwajima kufanya hili.
Linampunguzia baraka, alitakiwa kusamehe na kumuombea Makonda kwa nguvu zote
 
Gwajima kama mtumishi wa mungu nampongeza kwa hili lazma aweke Mambo sawaaa maana alishahalibiwa jina alilolijenga kwa miaka mingi
Gwajima sio mwanasiasa wala sio msanii
Gwajima ni mtumishi wa Mungu na maandiko yanatufundisha kusamehe
Amuombee Makonda zaidi, Mungu atamlipia
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom