Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Braza wewe kabebe mabox ughaibuni,tuachie burudani zetu huku bwana.
 
Atamua Bashite huyu mtumishi hivi katoka hospital?
 
I wish Ikudu be Bashite,lazima niuzulie hiyo ibada tukufu,pia ntapata nafasi ya kuuliza maswali.
 
Samehe saba Mara sabini lakini ukificha uchafu matokeo ni nini?
Ukificha uovu na wewe ni mwovu! Ili yasiendelee kutokea wajifunze wengine basi hakuna budi kumwaga wazi.
 
Kuna tetesi za kutaka kumkamata kabla ya hii siku ya Jumapili!
 
Ndugu zangu anayesamehewa ni yule anayeomba msamaha. ( soma Luka 18:4.) Kama ni kweli Bw . Makonda amemkosea Mch . Gwajima, ni vizuri amwombe msamaha ndivyo Maandiko yanavyosema. MTU akimkosea mwenzie, amwonye, akitubu asamehewe. Kabla ya Mch. Kuombwa msamaha, amwachilie Bw. Makonda.(Mch. atengeneze mazingira ya kuwa tayari kusamehe. Wapendwa, hata MUNGU hawezi kutusamehe mpaka pale tutakapotubu makosa yetu. Ndio maana Mungu anasema tubuni makosa yenu. Ndiyo sababu kubwa leo wanaadamu tunakufa kwa sababu Adamu na Hawa, hawakutubu Bali walijitetea kwa kutoa lawama. Kama wangaliomba msamaha MUNGU angewasamehe.
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] . Na badoo..weka vyeti mezani babaa. Huu mchezo hautaki hasira..weka ugoko naweka jiwe
 
Too much waumini unawaita nguruwe nakuomba utubu kabla upanga wa bwana wa majeshi haujakushukia.
 
Kuna tetesi za kutaka kumkamata kabla ya hii siku ya Jumapili!
Wanaweza ila haitazuia ibada, labda wamuukol*m#be, lakini nae najua yupo vizuri kifedha hata kuajiri walinzi wa hali ya juu sana, maana tayari anapambana na wazito hapo,
 
Nimeamuaku subscribe huu uzi kwa hiyari yangu....[emoji135] [emoji135]
 

Muombeeni Manji msamaha pia. Anayopitia Manji hayana tofauti na anayoyapitia Bashite kwa Gwajima
 
Umeongea vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…