kuu mbona ali declare kuwa anaongea na familia yake au...?Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Action and reaction are equal but in opposite directionWaumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!
Sasa tumechoka!
Mkuu mtetee na Manji maana naye ni victim wa Makonda. Kwanini sasa hivi watu wanalilia clemency kwa Makonda ili hali wPo ambao bado wanateseka kwa matendo ya Makonda. Weka cheti hadharani baba makondaHis behavior has been very unseemly.
A man of the cloth comporting himself like a drama queen.
Shame shame shame.
Mkuu unanilipia nauli ya kwenda au utaniwekea mafuta vitz yangu?
Yeye kasema tu kuna mgeni toka Koromije nyie mchecheto wa nini si msubiri?Kwa kuwa hicho kinachoitwa ushahidi kitatolewa kanisani na siyo mahakamani,sijui sheria inasemaje akidanganya kanisa.
Umbea upi mbaya kama wa kuleta discover kumi toka Dodoma kumpeleka mtu usiku kwa maswali ya kusikia na hayana hata msingi? Kiasi gani kinatumika kulipa DA kwa wale wanaoenda mjengoni kungojea watu na kuwapeleka kusikiliza umbea ambao unazaa kulindwa na watu kupata posho. Heri yao wanaopanda third class train kuja kutoa ushuhuda bila shuruti.Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
tulieni iwaingie........Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Hapana nadhani ilijiandika vibaya nilimaanisha yeye Gwajima yuko tayari kufa.Uko tayari kufa kwa ajili ya Gwajima?
Gwajima kama mtumishi wa mungu nampongeza kwa hili lazma aweke Mambo sawaaa maana alishahalibiwa jina alilolijenga kwa miaka mingirosemarie, hayajakufika! mtu akijitokeza hadharani akasema (samahani, najaribu kukupa mfano kuwa kuna vitu vinakera) kuwa umezaa na baba yako, au unafanya biashara ya sodomy anayetaka aje kwako- utamsamehe kuwa ngoja yapite, Yesu alisamehe? (Narudia samahani natoa mfano tu kuonyesha uhalisia). Atakuwa amekuharibia usichana wako na inawezekana usiolewe tena maishani....Kuambiwa kuwa unavuta unga, ni kuwa mtu amekumaliza! Kuna watakao baki na wasiwasi kuwa ni kweli serikali iliamua kufunika kombe mwanaharamu apite.. kuna watakaobaki na kuamini kuwa Gwajima ni mvuta cocaine, bangi and the like! na mfanya biashara ndio utajiri alio nao!...... (narudia samahani tena, ni mfano tu)
Gwajima sio mwanasiasa wala sio msaniiGwajima kama mtumishi wa mungu nampongeza kwa hili lazma aweke Mambo sawaaa maana alishahalibiwa jina alilolijenga kwa miaka mingi