kwa nn watu wanatumia nguvu nyingi sana kumchafua makonda kama hawana madawa kweli?kama amesema una madawa na huna si basi?AUDIO !! GWAJIMA: NINA VYETI VYA MAKONDA VYA JINA LAKE LA DAUDI BATISHE NA ALIFELI HILO MAKONDA NI LA VYETIVYETI
Tukisema huyu jamaa ni mwizi ameiba vyeti vya MTU tutakuwa tunamsingizia?
Tukisema huyu jamaa ni jambazi amebomoa nyumba ya Makonda tutakuwa tunamsingizia?
Tukisema huyu jamaa ni mwongo tutakuwa tunamsingizia?
Alipataje vyeti vya MTU mwingine? Kwa njia gani ? Kwa lengo gani? Lini? Alipewa na nani?alipewa wapi?
Naomba mnisaidie kujibu maswali hapo juu!!! Roho yangu isuzike!!! Kama ana vyeti vya Makonda naomba uplaod hapa tuvione!!! Tafadhali
Itakuwa matokeo tu (statement of results) kama ya yule RC mwingine.Ila uongo tuache kwani baraza LA mitihani huwa linatoa cheti(vyeti) kwa aliyepata zero!!???? Huyo anayesema anavyeti amevitoa wapi
Wewe ndo hujui kabisa!!! Inawezekanaje akawa na original na feki za mh Makonda? Lini Makonda alitafuta kazi kwa Gwajima,??ningekuwa Mimi ningesweka ndani mpaka aseme alivipataje vyeti vya MakondaSijui nchi ina laana gani? Hivi mtu mzima unawezaje kua na mawazo finyu kiasi hiki?? Utashangaa sana kusikia hata huyu mleta UZI nae ana digree walau moja. Hivi wakati mnatafuta kazi baada ya kutoka shule hua hamtawanyi vyeti vyenu kwa watu tofauti? Mbona mi nina CV na vyeti vya watu wengi tu wanaotafuta kazi? Mi siwezi shangaa kwa askofu Gwajima kua na vyeti si tu vya mkuu wa mkoa bali hata kama atakua na vya mtu mwingine; kwa maneno yake Gwajima, RC na askofu wanatoka kijij kimoja so cha ajabu ni nini hapo?
Jibu rahisi kwa suali lako ni kuwa Bashite ndie alieanza kuwachafua wenzake,angelifuata sheria haya yasingelimkuta,huwezi kuwatangaza watu kuwa ni wauza unga kwenye vyombo vya habari ukiwa huna uhakikakwa nn watu wanatumia nguvu nyingi sana kumchafua makonda kama hawana madawa kweli?kama amesema una madawa na huna si basi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kihere here cha nini?
Subiri kesho mzee kutoka kolomije aweke wazi zipi mbivu na mbichi
Mchungaji Ana result slip mbona kwenye ile audio yake mwisho ni aliconclude kwakusema. Uzuri siku hizi ukiingia kwenye mtandao naukiwa unahitaji Matokeo ya mtu ni sekunde tuu, mbona hsmtaki kujishughulisha,? Embu ingia kwenye mtandao wa necta ila uweunajua shule Bashite aliyosoma au namba ya hiyo shule na mwaka aliomaliza mbona ni sekunde tuu hata wewe utayaona hayo Matokeo ya division faafaa naukitaka kuyaprint unayaprinti tuu, hii ni simple case nandio maana huyo Bashite wenu domo limekua zitoKumaliza fitna vyeti vitolewe tu hadhani. Simpo
Kama yeye amekosea,,,, atahukumiwa kwa dhambi zake,,,,,Gwajima umepotoka :Acha kuchanganya ya KAISARI na Mungu.Mchungaji Gwajima umepotoka na unawaangamuza watu wa Mungu.Unakwenda kanisani unaanza kuhubiri mambo ya KAISARI.Biblia takatifu inasema ya KAISARI mwachie KAISARI.Leo wewe unachanganya ya KAISARI na ya Mungu.Je, umeshindwa kuilewa biblia inayotuongoza wakristo.?Watu wangu wanaangamia kwa kukosa ufahamu wa neno lako.
Huyo Kaisali anashambulia nyumba ya Mungu na watumishi wake, hata Yesu hakukubali nyumba ya Baba yake kugeuzwa pango la walanguzi, ALIPIGANA.Gwajima umepotoka :Acha kuchanganya ya KAISARI na Mungu.Mchungaji Gwajima umepotoka na unawaangamuza watu wa Mungu.Unakwenda kanisani unaanza kuhubiri mambo ya KAISARI.Biblia takatifu inasema ya KAISARI mwachie KAISARI.Leo wewe unachanganya ya KAISARI na ya Mungu.Je, umeshindwa kuilewa biblia inayotuongoza wakristo.?Watu wangu wanaangamia kwa kukosa ufahamu wa neno lako.
Matokeo ya kwenye mtandao ndio result slip ? Makonda amemaliza form 4 early 2000s, je matokeo yalikuwa yanawekwa kwenye mtandao muda huo? Ingia na wewe kwenye mtandao basi utuletee hayo matokeo.Mchungaji Ana result slip mbona kwenye ile audio yake mwisho ni aliconclude kwakusema. Uzuri siku hizi ukiingia kwenye mtandao naukiwa unahitaji Matokeo ya mtu ni sekunde tuu, mbona hsmtaki kujishughulisha,? Embu ingia kwenye mtandao wa necta ila uweunajua shule Bashite aliyosoma au namba ya hiyo shule na mwaka aliomaliza mbona ni sekunde tuu hata wewe utayaona hayo Matokeo ya division faafaa naukitaka kuyaprint unayaprinti tuu, hii ni simple case nandio maana huyo Bashite wenu domo limekua zito