Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Nashangaa sana kiona mchungaji anayegeuza nyumba ya bwana kuwa sehemu ya vijembe huu si ukristu walioachiwa mitume. Mwanzo niliwaza nikadanii pia uhenda aliongea vilke kwa kuwa yeye ni binadamu na kwa udhaifu wetu twaweza kufanya hivyo bahati mbaya na tena kwa kusingizia ya kuwa ni hasira. hii ya gwajima si hasira bali ni dhamira yake tene ya dhati kufanya kisasi, sijui ni yesu gani anayemuhubili ambae aliagiza wanadamu waishi kwa chuki na visasi na si kwa upendo. kwa hali hii ya gwajima UKRISTO UMEVAMIWA


Mi haya mambo ya viongozi wa dini yamenifanya sasa hivi hata sielewi kabisa lengo la dini hizi zote duniani maana Daah yanayotendeka ni tofauti sana sana na vitabu vya hizo imani za dini zote siku hizi.
 
32362f52d6211ca75b94728f7c8f95d3.jpg
Wazazi wa Daudi Bashite wakiojiwa na Zamaradi,miezi 8 iliyopita.
 
No not make yourself confuse... Being smart not smart is literary perceived by those who understand that word correctly...

Let me educate u in only thing that u will understand... When u are in holy place that u respect or others do... U live with your rules... Not only that, when u do an ethical thing, I mean anything.. Its u or other like u will take that as ethical but not others... I repeat "not others will be in your shoes"

If I may ask.. How did u know about that info? Where did u get that? I guess in church... Why? Because u were interested to get that info which is not intended to reach out to u... Do u know anything said by Waisilamu last ijumaa or today? Do u know what the wasabato said in church last Saturday? Do u know what Other Walokole said in church last Sunday!!?

I guess the answer u have is no.. If that is your answer then u are a smart man/ woman.. Let him say what he has to say because he is right in his own place.. Got it!!!!????

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Wow...msomi kweli kweli wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Makonda anabeba mamlaka halali ya serikali hivyo tuhuma zake na maamuzi yana uzito wa kisheria...wakati Gwajima ni maneno matupu tu na tuhuma zisizo na msingi
Kama tuhuma zake hazina msingi mbona mnahangaika?
Hatuwezi kuongozwa na watu wasio na uadilifu.
Mwambieni alete vyeti hapa. Vingnevyo tutazidi kuamini kuwa yeye ni kil.aza tu.
Mamlaka my foot.
 
Tulishasema hauwezi kuanzisha vita vya cheti katikati ya mapambano kutaka kuidhoofisha vita hii. Awe kasoma ama hakusoma. Vyeti vyake alionesha kwa mwajiri wake aliyemwajiri. Ulisikia kisheria ya kupewa cheo cha ukuu wa mkoa inahitaji sifa ya elimu gani. Ama ndiyo kitu kiitwacho kelele za vyura?
Basi tuseme hizi kelele zenu zilifaa sana kuzianzisha kabla ya "tukio" alilolianzisha yeye.
Nchi hii watu tulizoea sana maisha ya mtelezo na wizi.
Sasa tunapopanwa kufuata mambo ya msingi, tunaanza kutoa sababu za kifo cha nyani.
Hata usemeje, unufaika wa biashara ya dawa za kulevya, dalili zake ndiyo hizo.
Makonda katuanzishia vita vilivyowashinda Vingunge wengi, ni mfupa uliomshinda fisi, Mh. Makonda kauweza, anastahili hongera na Mungu atamsaidia.
Zilianza tangu alipompiga ngwala Warioba.
Vyeti alivionyesha kwa mwajiri lkn jina sio lake. Alete ushahidi kama yeye ni Makonda.
Wakati watumishi wengine wanahakikiwa walikuwa hawajaonesha vyeti kwa mwajiri?
Kesi hapa sio elimu yake bali ni jina alilopatia elimu hiyo.
Hivi kuna ugumu gani kukanusha jambo hili kwa kuonesha vyeti vyake?
Hivi unaamini wanaotaka vyeti wanapingana na vita dhidi ya dawa za kulevya?
Tunapinga double standards ktk uadilifu. Kiongozi mkubwa kama huyu anapokumbwa na tuhuma hizi alipaswa kuujuza umma ukweli wake.
Kupuuzia kujibu kwa vielezo tuhuma hizi kutazidi kumdhoofisha kisiasa.
 
Mh naona ishatumika ela nying kujisafisha.

Bila ya kuwa na kisas uwez enda mbele uwez kusamehe k
Ovyo ovyo. Gwajima onyesho chukuzo kuu kabisa.

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Walisema acha maneno weka muziki, sasa ni [HASHTAG]#achamanenowekavyetimezani[/HASHTAG]
 
Hata ww cku ukiviona vyeti vya Bashite hutakaa uamini wanasiasa tena....

Kosa kubwa serikali imefanya ni kumtukuza saaaana Makonda mpaka mawaziri wengine wakawa na ganzi according to mhe Msukuma! Kama jamaa katetemesha serikali nzima, sasa watamteteaje ili bashite aendelee mpaka awe Naibu Waziri Mkuu!!!!!! Failure hapa is attributed to TISS au waliofanya vetting walimdanga Rais na kama Rais alishapewa habari kuwa Makonda alitumia cheti cha mtu kujiendeleza na mpaka kuwa mkuu wa mkoa then tatizo au lawama itakuwa kwa Rais mwenyewe! Haya ni mawazo yangu.
 
Huu nao ni upepo unavuma kesho litachipuka jingine, watanzania tutahamia huko kweli maisha yetu ni kama vile bongo muvi.
 
Kwanini huyo Bashite asi apologize yaishe? Yeye analeta kiburi wkati mwenzake jeuri
 
Mwaka wake huuu, mwaka jana alitesa sana watu na taaluma zao wakina kabwe, Leo zamu yake na bado tunamsubiri mwandika majina ya wapiga kelele darasani aje, kwa maana sidhan kama alikua anakosa kuandikwa, Daudi wewe
 
AUDIO !! GWAJIMA: NINA VYETI VYA MAKONDA VYA JINA LAKE LA DAUDI BATISHE NA ALIFELI HILO MAKONDA NI LA VYETIVYETI


Tukisema huyu jamaa ni mwizi ameiba vyeti vya MTU tutakuwa tunamsingizia?

Tukisema huyu jamaa ni jambazi amebomoa nyumba ya Makonda tutakuwa tunamsingizia?

Tukisema huyu jamaa ni mwongo tutakuwa tunamsingizia?

Alipataje vyeti vya MTU mwingine? Kwa njia gani ? Kwa lengo gani? Lini? Alipewa na nani?alipewa wapi?

Naomba mnisaidie kujibu maswali hapo juu!!! Roho yangu isuzike!!! Kama ana vyeti vya Makonda naomba uplaod hapa tuvione!!! Tafadhali
 
Naona watu mnashikana mashati tuu wakati serikali ipoo! Mahakama zipoo!! Mh Rais yupoo! Nini tatizo???? Tuwekeni wazi sisi wananchi tujue basi.
 
Naona watu mnashikana mashati tuu wakati serikali ipoo! Mahakama zipoo!! Mh Rais yupoo! Nini tatizo???? Tuwekeni wazi na sisi wananchi tujue basi.
 
Ila uongo tuache kwani baraza LA mitihani huwa linatoa cheti(vyeti) kwa aliyepata zero!!???? Huyo anayesema anavyeti amevitoa wapi
 
Back
Top Bottom