[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anapenyeza ujumbe kupitia kwa teknolojia nasi tunaupata kupitia vioo
Rudi kasome biblia vizuri, maana naona una mstari mmoja uliokariri.Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Tulia na bashite, lazima kieleweke, na bunge ndio linakujaMkuu huyu sio kiongozi wa kidini bali ni mjasiriamali katika dini!
Povu la nini dogo nenda kashughulikie waliopatwa na tetemeko mambo ya Bashite waachie wenyewe.
Ingekua wewe nani?si upite tu hata saivi ukawatie hayo mafuta kama unaweza???nyoko wewe?eti hamna mwenye akili hata mmoja..we mwenye nazo umeisaidiaje Tanzania kuondokana na hao wasio na akili....kakojoe ulale huko
Msukule wewe na kizazi chako msiojitambua..idiotNadhani ww utakuwa ni mmoja wa misukule wake....haujielewi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gwajima amegeuka kuwa lulu sasa
Utakuwa mmoja wa members wa kale kajamaa! Kale kachopa alikonunua yule jamaa nina imani ulichangia kiasi fulani. Je una faida gani na kale ka chopa?Rudi kasome biblia vizuri, maana naona una mstari mmoja uliokariri.
Tulishasema hauwezi kuanzisha vita vya cheti katikati ya mapambano kutaka kuidhoofisha vita hii. Awe kasoma ama hakusoma. Vyeti vyake alionesha kwa mwajiri wake aliyemwajiri. Ulisikia kisheria ya kupewa cheo cha ukuu wa mkoa inahitaji sifa ya elimu gani. Ama ndiyo kitu kiitwacho kelele za vyura?Acha uchama bhana. WaKati Gwajima amatajwa wengine mlimshambulia (samahani kama wewe si mmoja wao) mlidhihaki sana tu. Hamkuona Makonda anavuruga dini kwa sababu anapambana na dawa za kulevya ili kuiokoa jamii.
Leo Gwajima anapambana na watu wasiowaadilifu mnamshambulia eti anaingiza siasa kanisani.
Ishu ya vyeti feki ilianzishwa na fisiemu. Leo ameshikwa pabaya mtu wenu mnaililia chadema.
Muda ulioutumia kusoma uzi huu ungeamua kumshauri Bashite kuweka vyeti mezani tungehamia kwa Salma.
Huwezi kusamehe mtu asiyeomba msamaha!Imeandikwa nduguyo akirudi kwako kuomba msamaha samehe hata saba Mara sabini!Mwonyeshe dhambi take kwanza ili akiri na kutubuNajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Yeye hataki unafiki anataka kuthibitisha kile alichokitamka kwahiyo nawe tulia dawa ifanye kazi maana kinachouma sio dawa ni ugonjwa.Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Kwani siku hizi umehama kanisa maana ulienda kuombewa kuogopa kutupiwa jini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Sadaka sitoi kama huyo mgeni kutoka call me jeyyy atagoma kutoa ushuhuda naondoka zangu.Mkuu usisahau sadaka, maana sadaka yako ni muhimu kwa kazi ya Bwana.