Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

wakuu mimi siku zote nilikuwa naamini huyu mtu ni mtumishi wa Mungu ambaye sipiritually ni mwenye kumuwakilisha yule anayemuamini na kumtumikia. msingi mkuu wa ukiristo ni upendo na kusameheana, hivi ndivyo alivyofanya Yesu Kristo ... kusamehe wote waliomkosea yaani kina Yuda na waliomsurubu msalabani. Aidha tumeshuhudia Askofu Pengo alimsame yeye Gwajima pale alipomtukana bila sababu za msingi.

Nilitarajia yeye Gwajima kama kiongozi mkubwa wa dini a 'walk the talk' kwa kusamehe yote iwapo anahisi Mhe. Makonda kwa kile anachofanya amemkwaza yeye, sasa kwa nini anatoka povu la nguvu mpaka anasahau kuwa yeye ni kiongozi wa kundi kubwa la wafuasi wake wa imani ya dini. Kwa nini asimsamehe tena mara 70 wa sabini kama maandiko yanavyoagiza badala ya kuendeleza maapizo ya kummaliza binadamu mwenzie. Uko wapi udini wake anaoshinda anahubiri, na nini kinampambanua yeye na Mhe. Msukuma. Au anataka kutupa taswira kuwa ana jambo jingine zaidi ya hili. Kama huyo anayemuamini alikubari kisulubiwa msalabani pasina kuwa na kosa iweje yeye ajitenge na imani hiyo, sisi waumini wake tumuamini kwa lipi kama sio hilo alikokuwa anatutaka tuliamini na kuliishi, yaani ... upendo? Naomba afikishiwe salamu kuwa kwa hili anatukwaza waumini wake tena sana tuu ... ebu ajitafiti tena nafsi yake na kama itabidi asione haya na kuwa na kiburi kuenda kwa Mhashamu Askofu Pengo akamuulize aliwezaje kumsamehe yeye wkt yeye anashindwa ktk hilo ... Mungu mbariki huyu Askofu wangu Gwajima ajitambue!
 
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Sasa, kama ameshatoa ahadi ni vigumu kwa mtu ambaye ni gentle kutotimiza ahadi. Apo anatakua ametembea walau maili moja makonda aliyotaka, bado moja ya nyongeza inakuja...
 
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Ya imani yaache yatatuliwe kwa imani lakini haya Bashite yaache yatatuliwe na koromije Ila tatizo naloliona ni kwamba watu tumejawa na chuki hadi tunashindwa kuwa na fikra mbadala hamna aliye tayari kusema ukweli huo utakuwa unaumiza upande wake kati hizi pande mbili UFIPA na LUMUMBA
wakati tunahubiri dini pasipo na dini tutazame mioyo yetu usiombe adui yako uketendee vema maana adui hufanywa na kisasi je ni kweli tunahitaji huyo Bashite asiwe na kazi kama ni kweli!!? Sijui ; itakuwa tunamsubiria tusiyepaswa kumsubiria na waliopaswa kusubiria wameshaondoka wamebaki wasiopaswa kusubiria.
 
Jpili kanisa litafurika sana huyu jamaa anajua pia kucheza na mind za watu..ila Bashite aliingia choo cha kike kwa huyu Gwajima
Lazima jumapili nihudhurie hiyo ibada, kupiga chini bashite ni baraka, hebu fikiria yule muuguzi aliyehukumiwa jela miaka 28 kwa makosa hayo hayo, why double standard!
 
Huyu Ni mtu wa kukamata fursa.Kishaona suala la mgogoro wake Na Makonda Ni fursa inayoweza kuongeza Sadaka.Anajua kwa kuwaalika Watu hao (wenye ABCs za Makonda) kanisani kwake Watu Wengi wanaopenda kujadili Watu Na mambo ya Watu wengine watafurika Na yeye kuvuna vya kutosha.Kwa hiyo jamaa yuko kwenye promosheni.
Naona ni Poa ilimradi kinachozungumzwa kiwe cha kweli... Kusiwe na uongo
 
Kwa taarifa yenu, naombeni niwakumbushe tu kwamba mkuu wa mkoa alishasema ye ana mamlaka ya kumfukuza mtu yeyote akaondoka na ndala tu... Sasa hao wageni wajipange kweli kweli... Mie ntawasubiri niwahoji wakiwa kibaha
 
katika kanuni za kilimo hasa sisi tunaolima asali, tunashauriwa usiingie kwenye shamba la nyuki ukiwa umepaka mwilini mafuta mgando yanayonukia, nyuki watakushambulia..
 
Tulia na bashite, lazima kieleweke, na bunge ndio linakuja

Naona wewe na wengine wengi hanjaelewa point yangu..........

7bd2a3e74dd7ecca1528f0ee6e66a67b.jpg
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.

Aisee
Wenye akili kubwa wataelewa.
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Wewe ulie samehe una Kondoo wangapi?
 
Yani Gwajima inabidi aongeze moto kama katiwa pilipili na ndimu kama wali take advantage ya kuwa yeye ni mtumishi Wa Mungu basi wamfanye any how na yeye anyamaze na kusamehe

Sasa amkomeshe Mr Zero, ili siku nyingine wawe wanajipanga kisawasawa before kum attack mtu
 
Back
Top Bottom