Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Sasa katika watu hao maarufu yupi amekutwa na hatia ya kuuza madawa ya kulevya na akapewa adhabu inayostahili? Mana huwezi kusema umethubutu mission ikiwa impossible
Mbona unataka kutembea kabla ya kutambaa!
 
Chenga chenga za nini mwambieni aonyeshe vyeti yaishe.

Akuonyeshe kwani kakuomba kumuajiri?

Toka lini kelele za vyura ziliwahi kumzuia tembo kunywa maji?

Gwajima si kasema anavyo fake na original,anashindwa nini kuviweka public?

Onyesha vya kwako kama una hobby ya kuonyesha vyeti.
 
Akuonyeshe kwani unataka kumuajiri?

Toka lini kelele za vyura ziliwahi kumzuia tembo kunywa maji?

Gwajima si kasema anavyo fake na original,anashindwa nini kuviweka public?
Ndiyo mnavyojifariji, Bashite ameshaingia kwenye 18,

mahakamani lazima aende kama si kwa vyeti feki ataenda kwa kesi ya kikatiba, au watu aliowachafua, na akienda huko lazima aape kwa majina yake hapo ndipo atakapokutana na kina Lissu na Kibatala,

Lissu: tuambie majina yako unaitwa nani.
Bashite: Paul Makonda
Lissu: Daud Albert Bashite unamjua.
Bashite: Simjui.
Lissu: hivi vyeti ni vyako?
Bashite: ndio lakini.....
Lissu: ni vyako? lakini ya nini.
Bashite: niliapa mahakamani kubadili jina.
Lissu: Mh.hakimu sina maswali zaidi.
 
Watu wa kwimba washamba sana wanashambuliana wakati ni kabila moja tena wanatoka kijiji kimoja.
 
Huyu Gwajima kwa hakika ukiwa na sense 6 hutashindwa kuelewa ni mpiga deal tu, na Lazima underground ana deal na mambo mengi ya kishenzi, Mchungaji unafuatilia vyeti Vya MTU kisha unavitumia kama rungu ili usishughulikiwa au kumnyamazisha aliye kinyume chako kisha hao nguruwe wake wanasema amina!!!! Mchungaji unaweka masharti uombwe radhi, mchungaji gani wewe unayevizia watu. Umeitwa umehojiwa umeachiwa huru kisha unaanza kupambana na mamlaka, mshenzi!!!! Inaongoza vipofu na wote mtatumbukia shimoni
Unavomchukia Mchungaji GWAJIMA hufikii ninavomchukia SIZONJE [emoji83] kwajinsi anavopindisha badala ya kunyoosha
 
Ukisema kila unachoshutumiwa ujitokeze ukikanushe utakuwa lofa. Wakikwambia wewe ni shoga, kapimwe rinda utuletee picha x-ray tuthibitishe, utaenda? Mambo mengine ukiwa kiongozi unapiga kimya tu, ndio dawa.
Kweli kosa vyote ila usikose upeo.! Umeambiwa we ni shoga si mfungulie mashtaka alokuambia wewe shoga ili ukweli upatikane?! Sasa BASHITE kaambiwa aliprove EARTH IS SPHERE yaani aligonga FWE FWE zoote ila alitumia vyeti visivyo vyake sasa si ajitokeze aoneshe vyeti ili tujue ya kwamba GWAJIMA ni Askofu muongo na mzandiki asiye na haya.?!
Hapa ndo Faiza huwa anawaambia sijui huko shule mlienda kusomea ujinga.?!
 
Ndiyo mnavyojifariji, Bashite ameshaingia kwenye 18,

mahakamani lazima aende kama si kwa vyeti feki ataenda kwa kesi ya kikatiba, au watu aliowachafua, na akienda huko lazima aape kwa majina yake hapo ndipo atakapokutana na kina Lissu na Kibatala,

Lissu: tuambie majina yako unaitwa nani.
Bashite: Paul Makonda
Lissu: Daud Albert Bashite unamjua.
Bashite: Simjui.
Lissu: hivi vyeti ni vyako?
Bashite: ndio lakini.....
Lissu: ni vyako? lakini ya nini.
Bashite: niliapa mahakamani kubadili jina.
Lissu: Mh.hakimu sina maswali zaidi.

Kwani nani kasema Makonda Ana kinga ya kutokushitakiwa?

Mbona mpaka sasa Ana kesi inaendelea mahakama ya Kinondoni dhidi ya kina Guninita?

BTW:Mahakama hizi hizi ambazo huyo Lisu mwenyewe anasema zinapokea maagizo kutoka juu au atapelekwa ICJ?

Jiandae kuwa disappointed.
 
Bashite alite vyeti bhana. Mfano wako hauendani na hoja mezani.
Acha maneno weka vyeti mezani

Kipindi hiki kama kweli wanakuja wazee wastaafu toka karamoja tumeambiwa kuna ambao taaluma zao ni walimu. Nini lengo la kuja kwao? Jibu unalo. Je wanatimiza matwakwa au matamanio ya Mungu au ya Gwajima? chagua jibu lililo sahihi. Jibu pia hapa unalo. Lazima hawa wageni watakua na Biblia zao mikononi.

Mazingira yenye mahitaji kama hili la sasa ya weza kujitokesa tena huko mbele ya safari. Ila zamu hiyo itakuwa ni wazee pengine wastaafu wa jeshi nao wakitaka kutimiza matamanio ya askofu mtumishi wa mungu. Wakiomba Biblia na banduki mambo ya takuwa vipi?

Na washawasha!
 
Kwani nani kasema Makonda Ana kinga ya kutokushitakiwa?

Mbona mpaka sasa Ana kesi inaendelea mahakama ya Kinondoni dhidi ya kina Guninita?

BTW:Mahakama hizi hizi ambazo huyo Lisu mwenyewe anasema zinapokea maagizo kutoka juu au atapelekwa ICJ?

Jiandae kuwa disappointed.
Kwanini niwe disappointed.
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.

Kama ni kweli kunamaandalizi hayo ya kuwaleta walimu waliomfundisha Makonda ili watoe ushahidi nafikiri sio sawa, haya sasa yatakuwa ni mambo ya kidunia, nilimuelewa sana Askofu Gwajima aliposema kuwa jambo alilofanyiwa atalishitaki kwa Mungu. Huo ndiyo Ukristo, katika ukristo wa Agano jipya fundisho la jino kwa jino halipo.

Serikali ni sikivu ninauhakika vyombo vinavyohusika na mambo ya kidunia vitafuatilia uhalali wa hivyo vyeti kama wataona kuna sababu ya kufanya hivyo. Askofu Gwajima ninahakika anaelewa fika kuwa Hakuna silaha mbaya kwa adui yako katika mambo ya kiroho kama kukaa kimya maana ukikaa kimya pale unapoonewa Mungu husimama na kukutetea ila ukiamua kujitetea Mungu hukaa pembeni. Haiwezekani vita ya kiroho upambane kimwili halafu ushinde, kitakachoendelea hapo ni kutoa nafasi ili shetani akuangushe na kukuaibisha.
 
Biblia inasema ukipigwa kofi shavu la kushoto geuza na la kulia lakini imekaa kimya akiendelea kukupiga ufanyeje.
 
Jino kwa jino,hatutaki mambo kama ya yesu ukipigwa shavu ili et ugeuze na lingine.hiyo itakua ni funzo kwa wengine wafanye kazi kwa weledi,sio kuwapakazia watu.nae atulie,maana wakati anawataja watu mbele ya waandishi wa habari,tulikua tumetulia.
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Mkuu mbona makonda aliwadhalilisha wazee na familia zao mbele ya camera!? Je, hiyo ilikuwa ni sawa?
Hapana haikuwa sawa.....
Je, hii ya Gwajima nayo ni sawa?
Sijui...ila tuiite KARMA
 
Huyu Ni mtu wa kukamata fursa.Kishaona suala la mgogoro wake Na Makonda Ni fursa inayoweza kuongeza Sadaka.Anajua kwa kuwaalika Watu hao (wenye ABCs za Makonda) kanisani kwake Watu Wengi wanaopenda kujadili Watu Na mambo ya Watu wengine watafurika Na yeye kuvuna vya kutosha.Kwa hiyo jamaa yuko kwenye promosheni.
 
Back
Top Bottom